Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

Si angesema tu Corona ipo, mbona haya maneno kuyatamka ni rahis?

Haya mambo ya kusema homa ya mapafu sijui ndio nini! Angefanya jambo la maana kama angesema 'Watanzania wenzangu Corona ipo, hivyo tuchujue tahadhari'.

Kama aliweza kusema korona tumeishinda kwa maombi ya Siku 3 na ndio maana hata hapa hakuna mtu amevaa Barakoa, unajua ile kauli inaishi mpaka leo? Sasa watu wachukue tahadhari za nini wakati Corona hamna na ni maisha tu kama kawaida. Hapo mwanzo kabla ya Corona kiongozi gani alisimama na kusema wananchi tuchukua Tahadhari? Kama hamna, kwa nini sasa hiv watu wachukue Tahadhari? Aseme CORONA IPO.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwa population ya Dar kwa mfano hao wanaovaa barakoa ni wangapi? Nenda Kkoo,Mbagala,Tandika ndio utaona na utapata majibu,au kwenye vyombo vya usafiri.Watu wanaenelea na shughuli kama kawaida hawana hofu kama ile ya mwaka jana.Licha ya ugonjwa kujua upo wameona lazima maisha yaendeleee tuu.Ni kuendelea kuchukua tahadhari tuu,tunavyoishi huku mtaani mmh
 
Ukimsikiliza huyu mzee utabaki na matatizo yako
 
Hamna kitu JPM yupo sahihi 💯Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo
Hivi kwanni vijana wa uvccm kila mkishauriwa mnakimbilia kwenye kuwekwa lock down? wapi kwenye bandiko umeona neno lockdown
 
Kuna mambo mengi tunamuunga mkono rais pia yapo makosa kama binadamu. Ana madhaifu pia.
 
Barikiwa kwa ushauri wako mwanana! Asante sana
 
Sadly there is a significant percentage of people who do take the advice. Worse enough among those who heed him unquestionably are the ones who are most vulnerable.
 
Hakuna mtu aliyegoma labda wewe unayeimbishwa na kubadilishwa mawimbi ya akili zisizojitegemea kufanya mabo yake hadi kitufe cha mbali kibonyezwe kukupakia kitu gani ukiseme, ukitende au ukiandike.

Hakuna mgomo isipokuwa ninyi wanasiasa uchwara ndio mnawapa taharuki wananchi kutokana na kuwapakia HOFU. Ili ushinde vita yoyote haijalishi ubora au udhaifu wa silaha zako ni kuwa jasiri kukabiliana na kifo kwa kuwa huwa hakicheki na mtu yeyote bila kujali hali yake ya kiuchumi au nafasi yake kwenye jamii.

Utambulisho wako ghushi unathibitisha kwamba wewe ni mchochezi aliyebobea kuleta mifarakano na viongozi halali.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia unaamini pia kuwa siku ina saa 48?
 
Acha umbea, ni umma gani umegoma kwa Rais wao? Usikute wewe ni -ke unajifanya ni -me.
 
Nadhani anamaanisha kuwa wenye akili wamemgomea, na ndivyo inavyoonekana.
 
Hahahah labda umegoma wewe na familia yako. Watu wanaenda makazini wanafunzi wanaenda shule wewe unazungumzia mgomo gani
 
Umemaliza
 
Ccm huwa inawatoa wapi watu kama wew?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…