Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

Kuna mtu amezungumzia lockdown au kichwa chako kinafikiri slowly kama lilivyo jina lako
Mkuu hilo ni Taga, ukiwauliza kuhusu uwepo wa corona wao wanawaza lockdown
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mataga hawana bongo za kufikiri
 
Kweli unaamini jiwe hajakataza watu kuvaa barakoa?
Nakushauri mwone daktari wa magonjwa ya akili.
 
Mwenye uhitaji wa daktari WA akili utakuwa NI wewe.
Wapi magufuli amekataza kuvaa barakoa?
Kweli unaamini jiwe hajakataza watu kuvaa barakoa?
Nakushauri mwone daktari wa magonjwa ya akili.
 
Halali???? Utakuwa taga wewe.
 
 
corona ya kwanza kama nilikuwa simwamini
Kwani Corona ziko ngapi nyie wajinga? Corona ni hiyo hiyo iliyoanza Desemba 2019 imeendelea kuwepo hadi sasa, haijawahi kuisha. Kilichofanyka ni kuwapumbazeni ninyi akili kwa kukatiza kupima na kutolewa kwa takwimu za maambukizi, basi. Wafanyakazi wa afya, maabara kuu ya taifa, walisambaratishwa na badala ya wananchi kupata taarifa za maambukizi ya Covid 19, wakajikuta wahanga wa kauli za uongo za Magufuli kuwa ameimaliza Corona kwa maombi! Muongo mkubwa yule jamaa. Kuna watu wengi waliendelea kufariki kwa Corona tangu Mei, 2020 bila kutangazwa hadi virusi vilipo-mutate na 'kuzaa' variant ya sasa inayowaumbua Magufuli na wafuasi wake hadi kila mtu anaongea lugha yake na kujiaibisha zaidi.
 
Kuna jinga moja liliwapa amri watu wavue mask, nadhani mitaa ya Moshi uko.
 
Kuna mtu kasema atangaze lockdown.........tuache kutengeneza maneno..
 
Mimi naona akili yako wewe ni ndogo sana ndio maana unahisi umezidiwa sanaa na mkuu. ukiwa na akili kama sisi wengine utajikuta unalingana na hata huyo. Anza kusoma vitabu ila cha muhimu zaidi acha ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…