When the disease was first reported in China, the experts understood little about the characteristics of the disease. They knew that the disease was very infectious and it kills people. But that was almost about it.
Experts walionya trend siyo ya kawaida. China wakapiga marufuku utoaji habari na hata kumkamata yule Dr wa kwanza ''dentist'? kwa kutoa habaria za kutisha.Kutokana na 'cover up' ya serikali ya China , WHO chini ya mwafrika wa Ethiopia ikaingia mkenge na kuchelewa kutangaza ' the looming pandemic'
Take for example Mch. Gwajima. He once said that 5G is the source of CORONA-19. Unfortunately, that wasn’t true. But his gullible followers believed him. So, do you think a person who takes Gwajima seriously will accept information from media outlets that contradict his belief? Rarely.
COVID-19 na 5G nilishangaa serikali haikumkamata. Nilishangaa sana
However, for Tanzanians who want to make a good story about their country, new and educational information about covid-19 doesn’t matter to them. For, they want to bash the west even though they are in a deep slumber of ignorance.
Sad!
In terms of mortality cases, Brazil is second to the United and it is in the same geographic latitudes as Tanzania. The question is why don’t we ask Brazilians to copy from Tanzania? I think that this isn’t the story you want to make.
Bolsanaro alikubali hoja za covid deniers na nchi ikalipa gharama kubwa ya maisha. immense mortality !!
Kuhusu vaccine, ukweli ni kuwa ilianza kutengenezwa miaka 10 iliyopita. Hapa ieleweke vizuri kabisa
Vaccine development ni matokeo ya Technology. Siku za nyuma vaccine zilitengenezwa kutoka katika 'live attenuated organisms' au kutoka katika toxin zake. Development ya live attenuated ina challenge nyingi hasa kuhakikisha wadudu hao wanabaki katika hali yake. Pamoja na hayo hata administration yake ilikuwa na challenges pia. Kwa mfano ilibidi kuangalia watu wenye ''comorbidity'' immune compromise etc
Miaka 10 iliyopita wanasayansi wakafikiria kutumia sehemu ya protein ya mdudu na hapa kwa virus ni 'RNA'
Hiyo inatosha ku-stimulate immunity bila kuwa na shaka na comorbidity au immuno-suppression conditions
Covid ilipotokea ilikuwa ni opportunity ya kutumia technology iliyokuwa 'in the making' ndiyo maana imekuwa haraka sana. Lakini pia Technology imesaidia sana kupata protein inayotakiwa kwa muda mfupi na kutengeneza millions of doses kwa muda mfupi sana.Hivyo vaccine ya RNA Technology ilikuwa katika process miaka 10 kabla
Kuna hoja nyingine ya Rais Trump ambayo inatumika sehemu nyingi duniani kuficha ukweli.
Trump anasema, US ina cases nyingi za covid kwasababu wanafanya test nyingi.
Solution aliokuwa nayo ni kuacha kufanya test.! Hili liliacha dunia ikiwa na kicheko.
Kama hufanyi screening ya maradhi yoyote haina maana maradhi hayo hayapo.
Watu wanasema South Africa ina case nyingi za Covid. Ni kweli kwasababu wanafanya testing, wana ripoti vifo.
Lakini pia inawezekana S.Africa ina cases chache sana ikiwa tutajua kila nchi ipoje.
Madai ya kuwepo au kutokuwepo covid eneo fulani la nchi za dunia inategemea jambo moja muhimu; Data