Nguruvi3 , I am not sure I understand why you have problem with the statement below:
Sina tatizo na kauli, nina tatizo na 'simplicity'. Watu wanakufa, ni janga! huwezi kulieleza kiulaini ukaeleweka
The current wave, if any:
'If any' yaani una doubt kama kuna the current wave! Bado una shaka ! Real?
If what you asserted reflected reality on the ground, then there is no current wave to talk about, for, there were no other wave: but the one and only original wave.
Unaweza ku comment ukiwa na data. Swali, kuna data za kutuwezesha kuelewa trend ya ugonjwa?
too shall pass in not a distant future:
Hii ni kauli iliyonichefua sana! '' Maana yake kwa kiswahili kisicho rasmi '' Hii nalo pia litapita kama upepo''
Mtu aliyepoteza ndugu yake unawezaje kumtazama usoni kwa kauli kama hii!!
Katika maisha, mtu mmoja ni 100%.
because of the sharp-peaked curve of the distribution.: There are no lockdowns "to flatten the curve", so, why is it wrong to assume that our epidemiological curve would be sharp-peaked?
Nothing wrong ! unapaswa kuelewa sharp curve unaongelea high mortality rate.
Kwa ufafanuzi hapo juu, utaona kwamba hakuna denial ya kitu chochote, zaidi ya kuwa cautious na kuaccommodate the possibility that the differing views might the better explanations.
Yeah, right! '' alternative facts'' !
Kwenye epidemiology, public health is concerned mostly with the health of the population before it deals with individual persons. Sweden is using similar (not the same, similar) strategy to Tanzania -- no lockdown.
Yes, Sweden wamelipa gharama. Bosenero wa Brazil ni 'dernier' ! Brazil wame pay the price
Ukizungumzia Sweden wao wana takwimu na tunaweza kupima mafanikio au kufeli kwao. Je kuna takwimu?
Lakini muhimu zaidi , nilidhani utatoa mfano mzuri wa control kutoka New Zealand
Huko kwa Kiwi mama Jacinda Ardern ametumia mbinu za kisayansi za wataalam wake, guess what, wao wataanza vaccination mwezi wa 5.
Nchi za ulimwengu zinaiangalia NZ kama mfano. Huko si ndiko kwa kuiga?
If the epidemiological distribution has indeed (in my opinion) a sharp curve, what does morality got to do with it in stating that? Please enlighten me.
Sharp curve inaweza kuwa na maana nyingi. Kwamba, kuna cases nyingi kwa muda mfupi lakini under control.
Au kuna cases nyingi kwa muda mfupi kukiwa na vifo vingi. kwa ufupi ni sad news ambazo hazipaswi kuwa downplayed na kufanya hivyo kwa maneno kama ' if any' tukijua kuna tatizo na ''this too shall pass...'' ni symptoms za moral decay. Maisha ya mtu mmoja ni 100%