Pole sana Zakumi for the loss of dear father.First, I am very sorry to hear what you have gone through. The disease killed my father, and some of my siblings are recovering from it. And the condition they describe are the same as yours. So, I don't take it lightly when I discuss covid-19. In one way or another it has changed my life.
...
Tatizo siyo tekinolojia ya kutengeneza chanjo haraka bali muda wa kutosha wa kuifanyia majaribio ili kuona kama haina madhara baada ya muda fulani. Tumeshaona chanjo zote za Moderna, pfizer na AstraZeneca zinapunguza uwezo wa kinga ya mwili, kwa kile kirusi kilichobadilika kule Afrika kusini. Kama wangekurupuka kupiga watu chanjo kule unafikiri nini kingetokea?
Pole sana Zakumi for the loss of dear father.
"Invisible wounds seldom heal" -- Nelson Mandela, in a card to one of his prison guards who had lost a loved one.
Not only that, ugunduzi wa Dr Jenner unatajwa kuwa ugunduzi uliookoa maisha ya wanadamu kuliko ugunduzi wowote uliofanyika, unaofanyika hadi sasa.
Moja ya vitu vinavyoongeza population na life expectancy ni Healthcare.
Katika hilo kuna primary, secondary and tertiary healthcare
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa katika mpango wa WHO wa EPI (Essential program in Immunization)
Chanjo imeokoa sana maisha hasa watoto.
Zakumi hawa watu wanashangaza sana, wanasema vaccine ni mbaya wakati wao wamepata ya measles, Diptheria, Pertuissis and Tetanus(DPT) na Polio na zamani small pox
Ugonjwa wa small pox (Ndui) umeua watu wengi sana dunia, lakini chanjo imefanikiwa kuufuta kabisa
Sasa argument kwamba vaccine ya Corona ni mbaya na ina lengo baya kwetu ni DOA (Dead on arrival)
Kama wanataka kumaliza population watatumia chanjo nyingine za watoto n.k. ! ha ha ha
Halafu kuna wanosema Chloroquine na Ivermectin, bila kujua zinatengenezwa na wazungu
Kitu kimoja nimejifunza, kuna kusoma halafu kuna kuelimika. Hivi ni vitu tofauti kabisa
Watanzania tuna tatizo katika elimu. Mfumo wetu wa elimu hauruhusu kufikiri na ni rahisi sana kuwa manipulated .
Kwani nikikwambia mimi ndio source itakuwa makosa/au wewe unataka source ya kwenye internet na magazeti tu? Hilo nimelijibu hapo juu. Baba ni mwana familia lakini haiondoi ukweli kwamba hataki wengine kwenye familia yake waguswe kwa nini?Zakumi kauliza maswali mawili. Kwanza, source of information. Pili baba yake si mwana Familia?
UK na US wana takwimu katika sec and minutes. Utasemaje ''Taifa lolote duniani'' wakati Tanzania hakuna takwimu? Huwezi kulinganisha kitu na hewa.
Huwezi kupinga chanjo ya Corona kutoka Ulaya halafu ukakubali chanjo ya surua (measles), DPT, Polio etc kutoka Ulaya!!
Serikali ya Tanzania ina takwimu, sema kwamba hawataki ku-share na WHO/Foreign nations huo ni uamuzi ambao Serikali imefanya.US wana takwimu katika sec and minutes. Utasemaje ''Taifa lolote duniani'' wakati Tanzania hakuna takwimu? Huwezi kulinganisha kitu na hewa.
Hizo vaccine bei yake kiasi gani? UK wanachanja raia wao bure oops sio bure health care yao ie Serikali inalipa, bei yake ni ngapi? UK wanatarajia deficit kwenye budget yao kufikia £400 billion mwisho wa mwaka wao, na hiyo ni kutokana na Covid-19 impact.Kisayansi mutation inatokea wakati wa replication ya virus katika host.
Hili ndilo limezaa hizo strains au variant
Mara nyingi strain zinakuja na different characteristics . Kwa mfano South Africa strain insamabaa haraka na inaua 'virulent' . UK strain inasambaa haraka sana lakini haina tofauti na ile ya mwanzo.
Kinachotokea sasa hivi si kwamba vaccine hazifanyi kazi.
Kila kampuni ina 'target' katika virus ndio maana kuna vaccine zinahitaji ubaridi kama zile za Pfizer, Zipo zinazohitaji hali ya kawaida kama za Modena na kwasasa ipo ya single shot kutoka Johnson and Johnson.
Kilichotokea Southa Africa ambacho deniers wanataka kupotosha ni kusema vaccine hazifanyi kazi.
Si kweli, bali ile variant ya South ni mutation tofauti na coding za protein ni tofauti na zile zilizokuwa targeted na AstraZeneca.
Maana yake ni kuwa vaccine za makampuni mengine kama Pfizer bado zime prove kuwa nzuri.
AstraZeneca wanabadilisha vaccine ili iweze kukabiliana na coding ya protein.
Ili kuzuia strain mpya mataifa yanapigana sana kufanya immunization. New strain inaweza kulazimu kubadilisha tena vaccine. Kwasasa kuna race against time na sequencing kubaini strain mpya.
Data zinasaidia kujua trend ya ugonjwa. Lakini pia zinatueleza ikiwa tunahitaji msaada na priority kama ilivyo kwa South Africa. Data ni muhimu sana
Kuhusu vaccine, serikali ingeruhusu mshirika binafsi yaingize na watu wapewe uhuru wa kuchagua.
Wale wanodhani wana immunity waache, wale wanaohitaji wapate fursa.
Haiwezekani kununu vaccine kwa watu binafsi mmoja mmoja, hivyo basi kwavile kuna watu hawataki, wengine wanatumia nyungu basi wanaoamini vaccine wapewe fursa hiyo.
Wanohitaji watanunua lakini fursa ya kupatikana iwepo.
Wanaoweza kuagiza waruhusiwe na wanaotaka kununua wapewe fursa.
The data in regard to Covid-19 is available but the Government has decided not to share with WHO/anybody else. The issue right now is the variant of Covid-19. The comparison will always be there whether you have published the data or not.Now with regard to what you have said above, the entire African continent faired well in the first wave. So it isn't time for national celebration to show the world that we have done much better than our former colonial masters or the world super power. If I ask you how many people tested positive and how many died, you will not have the number? So, how do you compare Tanzania and the UK when you haven't collected data from Tanzania?
Pole sana kwa kufiwa.First, I am very sorry to hear what you have gone through. The disease killed my father, and some of my siblings are recovering from it. And the condition they describe are the same as yours. So, I don't take it lightly when I discuss covid-19. In one way or another it has changed my life.
Mbona una jazba hivyo? Ni wapi nimesema Afrika Kusini wamepata chanjo ya Pfizer na Moderna?Stop ! crap !hujui kitu.
Unajua mutation? Unajua replication? Unajua gene coding?
Huko South Africa hawajapata chanjo ya Pfizer au Modena.
Hujui kitu kaa kimya ujifunze! utaelewa zaidi kuliko kubwabwaja. Inasikitisha sana
cc TUJITEGEMEE ha ha ha !Takwimu rasmi na simulizi za mabaya yaliyojiri pale watu walipochanjwa chanjo za korona.
Mkuu pole sana kwa matatizo, mwenyezi akutie nguvu, akupe subra na akufanyie wepesi, Amin!The disease killed my father, and some of my siblings are recovering from it. And the condition they describe are the same as yours. So, I don't take it lightly when I discuss covid-19. In one way or another it has changed my life.
Hii inaitwa novel virus na bado wanasayansi wanaisoma tabia yake. Kwa mfano, hawajui kwanini inaathiri wanaume zaidi ya wanawake. Kwanini inashambulia alveoli kwa maana ya kuwa lower respiratory badala ya upper. Hawaelewi kwanini wazee wanaathirika sana. Hivyo bado wanaendelea kusomaAs we know, the first line of defense is your own immune system. And it's this system that has helped many people recovery from covid19 and other diseases. For example, if you have looked at the data, young health people who have contracted covid 19 have faired very well compared to other demographic groups. Even health young people who haven't used garlic juice or a steamer of some sort have recovered well.
Herbal medication zipo zinafanyiwa utafiti. Si kitu kigeni kwasababu wengi hawaelewi dawa zina sources nyingi ikiwemo mime, madini , synthetic, fungus etc.Not get me wrong, I know the value of nyungu. I know that garlic has some nutrition and medical values. However, I am very skeptical on the way we treat the disease. Take for example Maalim seif and Balozi Kijazi...they were above sixty. I know Maalim seif had some preexisting medical issues. I don't much about Dr. Kijazi but he's a bit heavier..... so my question is do we prescribe the same therapies (garlic and nyungu) to people who are in a risk category?
The data in regard to Covid-19 is available but the Government has decided not to share with WHO/anybody else. The issue right now is the variant of Covid-19. The comparison will always be there whether you have published the data or not.
FYI there is no celebration to show the world anything, people are going on with their daily routines not even caring what is happening in the world you know.
cc TUJITEGEMEE ha ha ha !
Asante sanaPole sana kwa kufiwa.
http://vaers.hhs.gov/about.htmlcc TUJITEGEMEE ha ha ha !
The Vaers is a government entity and can't use a web address that ends u with .com . I bet that isn't a reliable source. Below is the real Vaers URL:
Vaccine Adverse Event Reporting System (VAERS)