Not only that, ugunduzi wa Dr Jenner unatajwa kuwa ugunduzi uliookoa maisha ya wanadamu kuliko ugunduzi wowote uliofanyika, unaofanyika hadi sasa.
Moja ya vitu vinavyoongeza population na life expectancy ni Healthcare.
Katika hilo kuna primary, secondary and tertiary healthcare
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa katika mpango wa WHO wa EPI (Essential program in Immunization)
Chanjo imeokoa sana maisha hasa watoto.
Zakumi hawa watu wanashangaza sana, wanasema vaccine ni mbaya wakati wao wamepata ya measles, Diptheria, Pertuissis and Tetanus(DPT) na Polio na zamani small pox
Ugonjwa wa small pox (Ndui) umeua watu wengi sana dunia, lakini chanjo imefanikiwa kuufuta kabisa
Sasa argument kwamba vaccine ya Corona ni mbaya na ina lengo baya kwetu ni DOA (Dead on arrival)
Kama wanataka kumaliza population watatumia chanjo nyingine za watoto n.k. ! ha ha ha
Halafu kuna wanosema Chloroquine na Ivermectin, bila kujua zinatengenezwa na wazungu
Kitu kimoja nimejifunza, kuna kusoma halafu kuna kuelimika. Hivi ni vitu tofauti kabisa
Watanzania tuna tatizo katika elimu. Mfumo wetu wa elimu hauruhusu kufikiri na ni rahisi sana kuwa manipulated .