mdogo mdogo tutafika..nchi ya China ilijetenga miaka hiyo sasa hivi wapo vzr kidunia
Wakati mwingine kutegemea sana hawa mabeberu wanatusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Dj huyu tofauti na dj zero wa Tanzania, dj wa Madagascar ni smart sana.DJ nlikuwa namuona ndezi sasa ndio nimejua why amerudi ikulu mara mbili kwa vipindi tofauti hayo mabeberu ya WHO badala iboreshe dawa yanakataa shenzi zao
mdogo mdogo tutafika..nchi ya China ilijetenga miaka hiyo sasa hivi wapo vzr kidunia
Wakati mwingine kutegemea sana hawa mabeberu wanatusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo dawa mbona hata sisi hatuitumii hadi tuifanyie utafiti, kosa la WHO ni lipi sasa.😂 Mkuu, acha kutoa povu, njoo na hoja kuonyesha hicho unachokiita upumbavu kujitoa WHO
Watu wa Madagascar wanakunywa dawa na wanapona, Iweje mjinga mmoja aje kusema hawaponi na kupuuza dawa Yao?
Africa inahitaji viongozi vichwa ngumu,wasioogopa, majasiri ili kukabiliana na ukoloni mambo leo
Ikiwezekana aungwe mkono na viongozi wote Africa baada ya kujiridhisha kuwa hiyo dawa inaponyesha,
Iko namna ya kuishi baada ya Corona kuisha, Africa ijitaysrishe kuishi maisha ambayo haikuzoea
Umenena vyema sana, Africa tulishakuwa biashara yao tangu tulivyokubali kufuata mifumo yao, kujitoa ni vema kujua kuwa mashirika yote kama hayo uliyoyainisha ni mkono wa mtu mmoja. Wakati anapigwa Gadafi alikuwa apigwi kama yeye ilikuwa inapigwa Afrika, lakini wengine wakijua ni Gadafi tu, na maisha yao yateendelea. AU imekuwa kama chama cha kuzikana tu. [Q UOTE="Kim Jong Jr, post: 35376972, member: 214818"]
sijaelewa link ya Madagasca kujitoa WHO na DJ kwenda ikulu, sorry mkuu je unaweza kufafanua ?DJ nlikuwa namuona ndezi sasa ndio nimejua why amerudi ikulu mara mbili kwa vipindi tofauti hayo mabeberu ya WHO badala iboreshe dawa yanakataa shenzi zao
COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do sameHii taarifa umeileta ili kupima akili za watu au kuchangamsha watu wanaokiamini kikombe cha babu wa Madagascar?
HII TAARIFA NI FAKE NEWS.
yaani wewe kazi yako hapa jukwaani ni kunengua mauno kulingana na biti za JPM, akisema mabeberu wabaya naww unadance hivyo hivyo...akisema mapapai yana HIV wala haujiulizi kvp we ni kukata uno tu!!.
acha kuwa mtumwa wa watawala, tumia akili uishi huru kwa kujitegemea!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wao hawana taasisi ya utafiti madawa ya nchi yao?Mfano mwingine wa ukurupukaji.
Hiyo dawa yao waliifanyia wapi majaribio mpaka ikubaliwe kuwatibu watu?
Au kwasababu Tz tulituma ndege huko ndio wakajiona wameshakubalika duniani!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hii hoja
WHO kosa Lao ni kushindwa kuifanyia uchunguzi na kuithibitisha kama inaponya,Hiyo dawa mbona hata sisi hatuitumii hadi tuifanyie utafiti, kosa la WHO ni lipi sasa.
Sisi ni taifa lisilofungamana na upande wowoteKwa nchi za kiafrika ni ngumu sana kujitoa maana karibu kwa kila kitu bado tunawategemea wazungu ikiwemo Technology.