JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari.
Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari yoyote dhidi ya corona
Aidha, wanabainisha kuwa kuwa kufanya hivyo kwa mtoto kunajenga tabia chanya na kumpa kumhamasisha kuendeleza tabia ya kujilinda