CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

If so mnachokifanya ndicho Tanzania inafanya. Msiite mass testing.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania watu wanakufa sana lakini bado ukweli unafichwa, ukifa hawatangazi kama umekufa kwa CORONA
 
Tatizo hapa tunashindwa kuelewana hilo neno "mass testing" linamaanisha nini,

1)Je ni kuwapima wananchi wote wa nchi husika au kuwapima wale wote wanaohisiwa au kujihisi kuwa na maambukizi?

2)Kama ni kupima raia wa nchi nzima, hill ni jambo ambalo haiwezikani kutokana na sababu za kiuchumi na kimipango(logistic)

3)Kama ni kwa wale ambao tunawahisi au kujihisi kuwa na maambukizi, tukiwapima na kugungua wameathirika, lazima tuwe na uwezo wa kufuatilia "contacts" wote waliokutana nao, kwasababu kuwatenga wao tu haisaidii.

4)Kufanya "mass testing' ni gharama kubwa sana, hasa ukizingatia kwamba kati ya wanaopimwa, ni chini ya 2% ndio wanagundulika kuwa " positive", 98% ni upotevu wa rasilimali, kwanini isitumike njia ya kuwaweka karantini wale wote tunaowahisi au wanaojihisi kuwa na virusi kwa siku 14?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wala sijaajiriwa na mara ya mwisho kusubiria mshahara ilikua miaka kumi iliyopita, ukipata fursa pitia nyuzi zangu kwenye jukwaa la sayansi na teknolojia utafahamu nini huwa nafanya.

Kwetu hapa hakuna aliyefungiwa ndani na hamna sehemu rais amesema watu wafungiwe ndani, bado hatujafikia hatua hiyo, ila ikibidi tutafika maana bora tuteseke kwa wiki mbili badala ya kuangamia taifa lote kisa ujinga.
Kwa sasa tuna kitu kinaitwa curfew, kuzuia watu kutoka nje usiku maana mchana watu wanaonekana kuchukua tahadhari, ila kwenye giza kila mtu anafanya yake, bar zimefungwa na hairuhusiwi kuingia vilabuni, ila usiku watu walikua wanajifungia kwenye klabu na kunywa pombe na kufanya yao, sasa amri ya kutotoka nje usiku inasaidia watu wanabaki ndani hamna vituko nje.
 
If so mnachokifanya ndicho Tanzania inafanya. Msiite mass testing.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wala hamjafikia level ya tunachokifanya maana uwezo huo hamna kwenu, maabara moja mnategemea kuanzia Tanzania visiwani hadi bara hadi mikoani.
Sisi tuna maabara zimezagaa kote, tunahakikisha vipimo vinafanyika kwa kasi.
 
If so mnachokifanya ndicho Tanzania inafanya. Msiite mass testing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, hiyo wanayofanya yupo sasa ni "mass testing", ila haina maana ukilinganisha na gharama za upimaji. Sasa kwanini hao wote wanaowapima wasiwaweke chini ya karantini kwa siku 14 kama tunavyowaweka wageni wote wanaoingia nchini?, ndani ya hizo siku 14, kwa wale wenye virusi, 80% watapona bila kuhitaji kupimwa na kuongeza gharama, na 20% ndio watakaohitaji kupimwa.

Hivi lipi ni gharama kati ya kuwapima na kuwaweka chini ya karantini, kwasababu " effects" ni sawa kwa njia zote hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hamjafikia level ya tunachokifanya maana uwezo huo hamna kwenu, maabara moja mnategemea kuanzia Tanzania visiwani hadi bara hadi mikoani.
Sisi tuna maabara zimezagaa kote, tunahakikisha vipimo vinafanyika kwa kasi.
Kutokana na kufanya mambo bila kutumia akili, ndio sababu maambukizi na vifo vimeanza kuwadhalilisha. Kenya ndio nchi pekee inayoshambuliwa na hivi virusi kwa kasi sana hapa Afrika kwa sasa, sababu kubwa ni uzembe na akili ndogo ktk kuweka mipango ya kukabiliana na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri tunajitwisha mzigo usio wa kwetu.
Waafrika hawawezi kufanana na wazungu kwa kila hali.
Virusi hubadilika kulingana na eneo walipo hivyo hata athari zao pia zitalingana na maumbile yao.

Uimara wa mwili ndio jambo la msingi kuliko tunavyofikiria.Wazungu wanaishi kwa vyakula vya kiwandani zaidi ukilinganisha na Africa ambako tunakula vyakula asilia .

Hali ya hewa ya baridi ni tatizo pia.Tazama watu wanavyokuwa na mafua na kikohozi wakati wa mvua au baridi kali kwa Africa ndivyo ilivyo kwa Ulaya na kama ndivyo ilivyo sasa ikichanganyika na CORONA athari inakuwa mbaya mno.

La mwisho tusimsahau Mungu.
Wazungu walitufanya waafrika ni bala masikini na maradhi .
Huu ni wakati na wao wa kumtaja na kutambua uwezo wake.
Mungu atuepushe na mtihani huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ina Maabara Ngapi? Idadi tafadhali,
Na pia pamoja na kuwa na uwezo wa kupima watu 300 kwa siku kwa msaada wa vifaa toka kwa kwa mfanyi biashara wa Uchina, sioni mantiki ya kupima kila mtu ni kutumia vibaya rasilimali, hata kama ni za msaada, sema labda sababu mnataka kusoma namba kubwa ili mpate chochote kitu.
Wala hamjafikia level ya tunachokifanya maana uwezo huo hamna kwenu, maabara moja mnategemea kuanzia Tanzania visiwani hadi bara hadi mikoani.
Sisi tuna maabara zimezagaa kote, tunahakikisha vipimo vinafanyika kwa kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endelea kujidanganya! Kwani SA kila sehemu ni baridi? Egypt?
 
Amen, kwa Paragraph yako ya mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya ni watu wa ajabu sana, haiwezikani kujihisi upo sahihi katika jambo Fulani wakati unaona wazi kwamba lengo lako halitimii.

Lengo la haya mapambano ni kuhakikisha kwamba maambukizi hayaongezeki na watu hawapitezi maisha, lengo sio kujua idadi ya watu wenye maambukizi, kujua idadi ya walioambukizwa inaleta maana tu kama itatumika kuweza kupunguza maambukizi.

Kinachotokea sasa hivi huko Kenya, wakishajua na kutangaza idadi ya wenye virusi, wanarudi kukaa chini na kuanza kupima wengine kwa ajili ya kutangaza siku inayofuata, hakuna mipango wala jitihada zozote za kuzuia kuenea kwa maambukizi.

Wakenya watakwisha na tai zao shingoni, sioni dalili zozote kwa wakenya kupona, tatizo hawajifunzi toka kwa majirani, uwezo wa kufikiria kwa haraka na kubadili mbinu pia hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endelea kujidanganya! Kwani SA kila sehemu ni baridi? Egypt?
Wewe ndio uwe na mtazamo chanya kujitambua.
Unafikiri SA ni kama Tanzania???.
Muingiliano wa wazungu na SA ni mkubwa na ndio maana kukawa na athari ya haraka.
SA ni ulaya ya Afrika,soma historian uone wanaoishi pale ni raia wa kigeni wa nchi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni tatizo la kisayansi, yeye analeta habari za kusikia, muulize hayo anayoyasema ameyasoma katika 'scientific book " yoyote au ameyatoa katika mitandao tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Virus wanabadilika kulingana na mazingira walipo.Waulize hao wazungu unaowaamini wakwambie.Ndio tatizo letu waafrika,huwezi kujiongeza kwa elimu uliyonayo na unasimu kutukana lkn hutafutii maafrifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa hapo umetoka nje ya kujadili mada kitaalam umeingia kwenye mipasho, mnampotosha sana rais wenu huko.
 
Dawa pekee ya CORONA.


TULIA NYUMBANI NA WATOTO WAKO...UWEZI KUTANA NA HUU UGONJWA...

KUWA NA SAFARI ZA LAZMA TU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virus wanabadilika kulingana na mazingira walipo.Waulize hao wazungu unaowaamini wakwambie.Ndio tatizo letu waafrika,huwezi kujiongeza kwa elimu uliyonayo na unasimu kutukana lkn hutafutii maafrifa

Sent using Jamii Forums mobile app
What are the living and nonliving characteristics of a virus?

Nonliving characteristics include the fact that they are not cells, have no cytoplasm or cellular organelles, and carry out no metabolism on their own and therefore must replicate using the host cell's metabolic machinery. 4. Viruses can infect animals, plants, and even other microorganisms.

Wazungu hao labda ndio mtaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni tatizo la kisayansi, yeye analeta habari za kusikia, muulize hayo anayoyasema ameyasoma katika 'scientific book " yoyote au ameyatoa katika mitandao tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Do viruses survive in cold or hot weather?

There's a seasonality to many viruses. Flu and cold viruses tend to peak in winter months, then die down with warmer weath

Wazungu hao labda utawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…