COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

Nchi hii yaweza kuwa hatari zaidi duniani. Siku moja hii jeuri itatokea watu fulani puani. Au nasema uongo ndugu zangu??
Uongo sema itakutokea wewe puani na familia yako na wazungu wako kwa Jina la Yesu
 
Historia ya muafrika kuonekana race ya mwisho haijaanza leo labda uwe huelewi mambo! Hivi mkuu itokee ugonjwa serious unaoua kwa spidi then uje uwaambie watu watapata dawa 2022 mwishoni unafikiri nini hapo we komba mboga..?? Unazungumzia utajiri kwenye uhai au unaandikaandika tu!
Hujui italy Hadi watu walikuwa wakitupa hela kisa hazikuwa zinawasaidia covid ilikuwa inaua watu na utajiri wanao! Mi naona Kuna mahali hapajakaa sawa ktk uelewa wako ujumbe wangu umeusoma kuhisia na sio kiuchambuzi.
Kwahiyo wewe ulitaka uwe race ya ngapi wakati umekutwa unakunya porini, unaishi kwenye miti. Malaria unatambika na kwa kuuwa watu na bado wanaendelea kufa nayo.

Watoto wanakufa kwa malaria surua, pepopunda wewe unatambika. Just think wewe sahivi ukimwona mtu anakunya porini utamchukuliaje kizazi hichi. Mi nadhani historia nd imetupa hiyo status. Basi cha kufanya ni nini hapa? ni kukimbizana na nyakati kushirikiana nao vizuri kujijenga kuliko kushindana it's not helping
 
Chanjo ikiwa Mandatory Carbood atakuwa wa kwanza kupatiwa
Maana hataruhusiwa kupanda ndege
 
Waganga Wa Kienyeji Wamefanya Kazi Nzuri Sana
Wakati Wa COVID 19,Hivyo Basi Waheshimiwe
Uchawi Tu Ndiyo Mbaya!!
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Tanzania nchi yangu imefika pabaya. Naamini tuna watalaamu wa kutosha wa kulitafakari jambo hili na kutoa maamuzi yakueleweka. Nionacho hapa ni mkanganyiko wa hali ya juu. Tunaendeleza upuuzi ule ule wa dawa siu chanjo ya Madagascar ambayo hakuna anae izungumzia sasa.
Huko duniani COVID 19 inaua kweli (hapa kwetu ni siri ya watu wachache, wengi hatujui kinacho endelea). Dunia ikifunguka tutawalinda vipi watanzania watakao safiri na je wageni wakishuka na hiyo Covid 19 tutafanya nini?. Afadhali wangesema tutaangalia ni chanjo ipi inatufaa lakini naona wameamua tuendelee kunywa "matogwa" yetu?.
Wazungu siyo ndugu zako , vipi unadhani wanafurahia tu wao wanavyokufa kwa ma elfu kila siku huku sisi tunadunda tu..
 
Umekurupuka ndugu! Ujumbe wangu ni kuitaka afrika iamke na sijalaumu yoyote Yule hapo zaidi ya kuwalaumu wanaoiponda serikali juu ya uamuzi huo! Hiyo ni alert tu by the way ulivyo nielewa ndo ubongo wako ulivyo mpana ktk ufinyu wa upana wa uelewa.
Uko sahihi
Naunga mkono serikali madaktari wetu wamesoma sana ndani na nje let them show their abilities kwa kugundua dawa
 
Ukisikia kutawaliwa na wajima ndiyo huku sasa. Sina cha kusema. Mpumbavu mmoja anafanya Taifa zima lionekane ni la wapumbavu!
Dili lenu limebuma kutudunga vitu visivyoeleweka! Tunaanza kuonyesha makucha ya kujitegemea ki kweli mkweli. Heko Watanzania wote wanaojitambua. Asante sana uongozi wa nchi.
 
Naunga mkono serikali ni wakati wa kuionyesha dunia kuwa wanasayansi watanzania wanaweza chini ya mwanasayansi Magufuli aliyegundua kuwa hata mapapai yaweza onekana kuwa na corona kwa vipimo vya wazungu wakati hayaumwi Corona
Asante sana mkuu.
 
Siungi mkono hoja! Itakuwa ili uruhusiwe kusafiri nje lazima uwe umepiga chanjo hii. Mbona tumedungwa machanjo kibao tangu utotoni na bado tunadunga tu
Utaenda udungwe huko ama iagize kwa ajili yako kwa kufuta taratibu za nchi. Hii itawarejea imani hao unaohitaji kuwafuraisha na kuwanufaisha kwa mtaji wa afya yako na kizazi chako.
 
Lazima africa tufike mahali tuonyeshe na sisi tumesoma hebu fikiria daktari anamaliza degree za udaktari vyuo ulaya au marekani chuo kimoja na wazungu walioko kule inatokea Corona anasubiri waliyesoma naye darasa moja agundue dawa kwa nini huyu wa Tanzania naye asigundue azuiwe?

Serikali iko sahihi
 
Mnasusa kwasababu hawaitambui serikali iliyoingia madarakani kitapeli.
 
Watanzania msahau kabosa kuhusi safari za nje ya nchi, hakuna nchi itatypokea uless uwe umepata channjo

Kwa maana hiyo, lwa miaka mitano tutakaa humihumu tutabanana
 
Tukatae na chanjo za surua na pepopunda maana tunaletewa mabeberu
 
Bora waagize tu kwa wanazitaka sio kuwakatalia watu wenye uhitaji kwa msingi wa kipumbavu wa Siasa... Wakaulize kwa kina Patel kama hawahitaji... au Atupe sie raia leseni tuagize wenyewe and am sure wateja wa kwanza watakuwa hao hao viongozi... babu wa Loliondo ndio wanataka tuende kwake?
 
Bora waagize tu kwa wanazitaka sio kuwakatalia watu wenye uhitaji kwa msingi wa kipumbavu wa Siasa... Wakaulize kwa kina Patel kama hawahitaji... au Atupe sie raia leseni tuagize wenyewe and am sure wateja wa kwanza watakuwa hao hao viongozi... babu wa Loliondo ndio wanataka tuende kwake?
Yes au hata waruhusu private hospitals kuagiza na kuziuza kwa bei wanayoitaka, mwananchi anaeona ana shida akalipie apate chanjo
 
Ukisikia kutawaliwa na wajima ndiyo huku sasa. Sina cha kusema. Mpumbavu mmoja anafanya Taifa zima lionekane ni la wapumbavu!
Hizo nchi za ulaya na america karibia nusu ya population hawataki hizi chanjo, marekani imebid Bush na Obama wamotivate watu wachome chanjo kwa wao kuchoma hadharani
 
Back
Top Bottom