macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Bila shaka Ulaya kuna wananchi ambao hawataki kuchanjwa. Au umeona nimesema kuwa wote wanataka kuchanjwa? Lakini pia kuna wanaotaka kuchanjwa. Na Tanzania pia kuna wanaotaka kuchanjwa na ambao hawaki kuchanjwa.Hizo nchi za ulaya na america karibia nusu ya population hawataki hizi chanjo, marekani imebid Bush na Obama wamotivate watu wachome chanjo kwa wao kuchoma hadharani
Mnajulikana kwa lugha zenu. Ila habari ndiyo hiyo, unata hivyo hivyo hutaki hivyo hivyo.Ndoto za mwendawazimu.
Ndio hivyo sasa serikali imewapa wengi, wasiotaka kuchanjwa, haiagizwi chanjo ya covid, kunywa mdalasini na tangawizi...wangapi unaowajua wewe wamekufa na corona?Bila shaka Ulaya kuna wananchi ambao hawataki kuchanjwa. Au umeona nimesema kuwa wote wanataka kuchanjwa? Lakini pia kuna wanaotaka kuchanjwa. Na Tanzania pia kuna wanaotaka kuchanjwa na ambao hawaki kuchanjwa.
Endelea kusifu na kutukuza.Siungi mkono hoja! Itakuwa ili uruhusiwe kusafiri nje lazima uwe umepiga chanjo hii. Mbona tumedungwa machanjo kibao tangu utotoni na bado tunadunga tu
Unataka hivyo hivyo, hutaki hivyo hivyo,Washamba tu ninyi. Ustaarabu mnausikia kwenye radio. Style hizi za ushamba walizifanya kina Mobutu enzi hizooo, nyie ndiyo mnafanya leo.
Na sisi maprofesa wetu wanafanya nini???. Wanashindwaje kutafuta chanjo??!!Jamani sisi tunahitaji chanjo ya malaria na ukimwi sio covid 19, tukatae huo upumbavu wa kufanya miili ya waafrika ni panya wa maabara!
Kwa sababu wale ambao walishaanza kuzitumia wakiacha wanakufa.Kwanini serikali yako isianze kwa kukataa ARV ?
Kama watu wamekubali kuwa Tanzania hakuna corona sasa hiyo dawa ya Madagasca ya nini?Ile alkasusu ya Madagascar mliyoifata kwa ndege ya taifa bado mnainywa?
Hili suala la corona huwa linanichekesha sana, sababu ukiuliza kuwa kama corona ni hatari sana mbona watu wanadunda tu mitaani bila tahadhari na hatuoni wingi wa vifo wagonjwa?Mack
Halafu Quotes kama hizi Zanzibar-ASP huwa hasemi kitu.. au mabeberu wanakufinance mkuu!?Hakuna haja ya kuwa viherehere ilhali baadhi ya chanjo tayari zimeanza kupigwa marufuku kutokana na side effects zake.
Huko Australia chanjo moja imebainika kila aliyepatiwa chanjo akipima HIV anakutwa Positive.
Yah right. Huo ugunduzi unaanzia kwenye Corona 🤣🤣🤣🤣Uko sahihi
Naunga mkono serikali madaktari wetu wamesoma sana ndani na nje let them show their abilities kwa kugundua dawa
Nawashauri: Kama hiyo chanjo mnaona nzuri sana, chukueni zile hela za ruzuku (Mbowe tayari anazo hapo ufipani)Masikini jamani !! yaani akili imekwisha kabisa yamebaki matope matupu !