COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

Naunga mkono hoja. Hawa washenzi wanasema tu dawa za asili zina madhara bila kubainisha ni madhara gani. Watu tumezaliwa na kukua kwa mitishamba.

BTW serikali inajua mengi kuliko wengi wetu
 
Siungi mkono hoja! Itakuwa ili uruhusiwe kusafiri nje lazima uwe umepiga chanjo hii. Mbona tumedungwa machanjo kibao tangu utotoni na bado tunadunga tu
Neno majaribio ndiyo tatizo...
 
Kwanini pia usijiulize kwanini hiyo ikataliwe na zingine zikubaliwe. Wazungu wame flash akili zenu kabisa
 
Na sisi maprofesa wetu wanafanya nini???. Wanashindwaje kutafuta chanjo??!!

Kazi tu kufanya ngono na wanafunzi wa kike vyuoni.

We Africans hovyo sana.
Katika mkutano wa kisayansi uliofanyika Arusha hivi karibuni wa wataalamu na madaktari wa mifugo, Prof. Wambura na wenzake kutoka SUA, wamegundua chanjo inayodhibiti magonjwa matatu ya kuku. Chanjo hiyo haihitajiki kuifadhiwa kwenye friji. Hii ni mkombozi wa wafugaji wa kuku.

====
Mnapowashambulia wasomi wetu muwe na " moral authority" kufanya hivyo. Tuanze na wewe, umeifanyia nini Tanzania cha maana toka uzaliwe?
 
Tiba asili zipi? Wanajua umuhimu wa chanjo? Kama wanakataa chanjo basi haina haja ya wamama wajawazito kupigwa chanjo!!
 
Huu unaitwa wizi Wa wasomi ama zile elite societies.

Yaani wanatengeneza kirusi afu wanavumbua chanjo wanapiga Hela. Mbona haina tofauti na huku kwetu Africa kuwa mchawi anakuroga afu unatibiwa na mganga Wa kienyeji unapona. Yaani bana ila huko kwa wazungu Mwafrica anamuona kama vile ameendelea
 


Mimi sio profesa, sikusoma kwa kodi za wananchi, wao wamesoma kwa kodi zetu kuja kutusaidia, therefore they had privilege to pursue studies at our expenses, is it not enough for me to have the moral authority to ask for what they render to our society ???

Mbona maprofesa wenzao wa ulaya siku zote wanafanya lots of inventions one of which is the Covid 19 vaccine, hawa wetu ni bongolala tu.

Kifupi our professors have acquired their educations and not learned, hiyo ndiyo shida KUBWA.
 
Si kwa waafrika tu ni kote duniani
 
Sasa wenye Dunia yao wakiweka masharti ya kupewa chanjo kabla ya kutembelea kwao akina Kabood yale macho watayatolea wapi
Jamani mbona tumefika huko. Shirika la afya duniani halipo kwa ajili ya kuwaangamiza watu fulani. Chanjo ni lazima. Mimi nitaenda Kenya kupata chanjo
 
Jamani mbona tumefika huko. Shirika la afya duniani halipo kwa ajili ya kuwaangamiza watu fulani. Chanjo ni lazima. Mimi nitaenda Kenya kupata chanjo
Wakati huu unatumia nini kujikinga usipate corona?
 
Jamani mbona tumefika huko. Shirika la afya duniani halipo kwa ajili ya kuwaangamiza watu fulani. Chanjo ni lazima. Mimi nitaenda Kenya kupata chanjo
Haliaminiki sana kwa sasa, kwani hata kuelezea chanzo na udhibiti kule China wanajiumauma tu.
 
Jamani hili dubwana bado lipo(corona)

Siku tatu zilizopita nimeteswa na mafua makali na kifua...leo baba yangu mzazi ambayealikuja kuniona jana nyumbani na yeye yuko vibaya amelala kitandani,mafua makali ana hema kwa shida chafya na homa kali..Asubuhi alipelekwa hospital amerudishwa wanasema malaria lakini yeye mwenyewe na waliomuona wanasema ni dubwana.Jioni nitakapoenda kumuona nitatao mrejesho
 
Naunga mkono hoja. Hawa washenzi wanasema tu dawa za asili zina madhara bila kubainisha ni madhara gani. Watu tumezaliwa na kukua kwa mitishamba.

BTW serikali inajua mengi kuliko wengi wetu
tatizo la dawa zenu za asili mmeyashindwa malaria ambayo za hospital dkk 0 tu. Surua pepopunda to say the least. Na je vipi kuhusu ARV na kikombe cha babu hhhhhh
 
Kama Tz wanasema hakuna corona mambo hata hawastahili kuyazungumzia. Tanzania ni mbuga ya wanyama, ugonjwa ukiingia hata hawajui hadi waone mizoga inazagaa!!
Shame on you Tz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…