Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake.
Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa sasa Ndugai ageuke awe adui yenu. Mjiambatanishe na upande ulio against Ndugai ili mje tetewa siku za usoni.
Msinyamaze. Toeni matamko mbalimbali ya kumuunga mkono Rais. Ndugai achaneni naye kwa sasa hatoweza wasaidia. Na kuwa naye karibu ni kujitafutia mabalaa tu. Ushauri wa bure huu.