Sasa kama una dalili za corona na umejifungia nyumbani watapataje data?Humu kuna watu wangapi hawasikii ladha wala harufu na wameumwa taabani?
Wamepuyanga kwenye data.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amfifiro.
Mpaka tarifa hizi zinakuja hapa, ilikuwa umesubiriwa wewe Tu ili kuwepo sasa wa kuongezeka Kati ya waliokufa, Bahati mzuri kumbe uko vizuri, hakuna SASA wa kuongezeka! MUNGU akupe siku nyingi zaidi mkuu, na usiendelee kuombea vifo kuongezekaVifo bado ni 10?
Wale wanao zikwa usiku ni vipi? Wale wanaozikwa na watu wasio zidi kumi ni aje?hawa waongo, wako zaidi ya hao
Ukweli upi sasa mkuu Wakati wa mitandaoni wote tuko salama?Kutaka taarifa ziwekwe wazi sio kutaka vifo viendelee.
Tunataka tujue ukweli halisi.
hawa waongo, wako zaidi ya hao
hawa waongo, wako zaidi ya hao
Ubebe!!! 😂😂😂😂Mimi nikiambukizwa nitapita ofisi zote za ccm na kwenda kuwakoholea halafu namalizia Lumumba
Mkuu nenda kamsikilize PM mwenyewe ametoa taarifa vizuri tu Ila huyu aliyeleta Uzi ndo kafupisha taarifa au labda afanye update ya taarifa yake, lakini PM ameeleza vyote tena kwa usahihi tu.
Kwa nini kuna siri nyingi kuhusu Korona wakati inatakiwa kujulikana hata wale wenye nayo ili tujilinde na kujikinga nao? Serikali haiaminiki hata kidogo kwa janga hili, walitupotosha na kusema ni mafua tu, hawajafunga mipaka kwa abiria, hawakuzuia ndege toka nchi zenye Korona, wakatuambia barakoa ni kwa ajili ya watu wenye korona, sasa wanatangatanga baada ya kuweka pesa mbele kabla ya Afya.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya jumla ya vifo kufikia 16 Tanzania, wagonjwa waliopona wamefikia 167. “uzushi wa kwamba kila kifo ni cha corona sio sahihi kuna magonjwa mengine yanayoua”
Waziri Mkuu akinukuliwa, amesema...
''Kuanzia Aprili 23 - Aprili 28,2020 tumepata wagonjwa wapya wa Corona 196 ambapo kati ya hawa Bara wapo 174 na Zanzibar 22 ambao Waziri wa Afya Zanzibar ameshawatangaza, hii inafanya jumla ya visa vya Corona Tanzania kufikia 480 kutoka 284 ambavyo vilitangazwa Aprili 22''
Hivi kwanini saudi arabia imefuta hukumu ya kupigwa fimbo hadharani ? Hii kitu inastahili kuwepo hasa Tanganyika.
"....UTAKUFA HAKIKA" hayo ni maagano ya yule mlieamriwa mumuombe kwa siku tatu.Mpaka tarifa hizi zinakuja hapa, ilikuwa umesubiriwa wewe Tu ili kuwepo sasa wa kuongezeka Kati ya waliokufa, Bahati mzuri kumbe uko vizuri, hakuna SASA wa kuongezeka! MUNGU akupe siku nyingi zaidi mkuu, na usiendelee kuombea vifo kuongezeka
Kuna mzee wangu amefariki tangu juzi,lakini hadi hivi leo tunasubiria majibu ya corona,sasa katika mazingara ya aina hiyo unatwgemea Nini?Serikali hii ina uwezo wa kukamatwa,kutesa na kuua wanaoikosoa na kufuja Mali ya umma tuWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya jumla ya vifo kufikia 16 Tanzania, wagonjwa waliopona wamefikia 167. “uzushi wa kwamba kila kifo ni cha corona sio sahihi kuna magonjwa mengine yanayoua”
Waziri Mkuu akinukuliwa, amesema...
''Kuanzia Aprili 23 - Aprili 28,2020 tumepata wagonjwa wapya wa Corona 196 ambapo kati ya hawa Bara wapo 174 na Zanzibar 22 ambao Waziri wa Afya Zanzibar ameshawatangaza, hii inafanya jumla ya visa vya Corona Tanzania kufikia 480 kutoka 284 ambavyo vilitangazwa Aprili 22''
Naona ushajiandaa kufanya unabiii sasa huoni pa kuanzia. Vipi kuna wa familia yako wamesahaulika?hawa waongo, wako zaidi ya hao