COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

HIV INASHAMBULIA KINGA YA MWILI....

CORONA INASHAMBULIA HEALTH CARE SYSTEMS YA NCHI WHICH IN TZ WAS ALREADY POOR

IN DAR

NOW WATCH PEOPLE DROP SII NA CORONA PEKE YAKE

FANYA UWEZALO USIUMWE KARIBUNI

HOPITALS ARE COLLAPSING IF NOT ALREADY CRIPPLED!!
 
hawa waongo, wako zaidi ya hao
We ulitaka waweke idadi ipi ili wawe wa kweli? Weka basi iliyo sahihi. Ina maana cases 400+ hazitoshi kukufanya wewe uchukue hatua staiki?

Me nahakika serikali na waliomo ndani yake hawafurahii na namna hili janga linavyoendelea, nao pia wana hofu sababu ni binadaamu pia.

Ila la msingi hii idadi mpya inapaswa, itoe ishara fln kwa mamlaka juu ya janga hili, ikiwa ndy pengine ni idadi kubwa ya maambukizi kwa eneo zima la Africa mashariki, kwa hy idadi inatokana na watu kujipeleka wenyewe kwenye vituo vya afya labda na sy kupima mmj mmj.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atusaidie tutuepusha katika janga.
Watu wa Mungu tuombe sana huku tukichukua tahadhari za covid 19.
Lakini wale ambao wanaona serikali haifanyi kitu chochote katika kupambana na covid 19 ni wasaliti na wananchi wenye imani na serikali yetu wawapuuze. Rais wetu mpendwa na serikali yetu kwa ujumla msikate tamaa tutashinda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitaani bado watu wanakaa vijiweni vibarazani mikusanyiko ni mikubwa watoto wanacheza pamoja licha ya mashule kufungwa
TUKO pabaya sana mkuu....yaa vitoto vipi vipo tuu mitaani,, baba kaenda kubangaiza sijui feri/kariakoo,,, mama anabangaiza mamantilie...aiseee.....tupaze sauti tuu
 
Sasa hapo umeandika nini?

Yani ulichoandika ni ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu kilaza juha unawezaje kujua ujinga? Tokea lini mpumbavu akajua ujinga? Ondoka kwenye ukilaza uliokuzunguka kwanza ndipo uweze kukosoa chochote huna Akili lakini eti CCM inakutegemea kuitetea mitandaoni, CCM sijuia huwa wanawaokota wapi nyinyi mbumbumbu
 
Waziri wa Afya kakwepa Lawama baada ya kupita mitandaoni na kugundua watanzania wanajua taarifa zake huwa ni za kutengeneza, kawa Mjanja kaamua kumtupia mpra waziri mkuu ambaye akiingia mitandaoni atajutia kauli zake
unajua sisi tunaandika tu ila hatujuai ndani ya system kuna changamoto za namna gani kushughulikia ili janga la corona.
usikute nyuma ya ummy kuna extenal force inasimamia ama ku command mambo bila ridhaa yake.nawaza tu lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiutani utani tu tunakuwa kitovu Cha maambukiz Africa!! Hatuwezi pinga na tafiti za wataalam kwakutumia kiburi na jeuri ili kuonekana wa tofauti na wao. Km jamii tumesema idadi ya mwanzo imechakachuliwa sio sahihi je hii ya 480 sindioo hatariii???


#faiza 🦊 njoo bibie tuimbe na kuabudu utukufu wa bwana yule umeinuliwa baada ya kusifiwa Duniani kote.
 
Ningekua mimi ndie nina maamuzi ya kuliende hili,nisingetangaza kifo wala maambukizi,jitihada zingekuwa katika kuwaelimisha watu kuhusu huu ugonjwa.Hakuna tija katika kutangaa vifo wala idadi ya wagonjwa.Kuna malaria yanaua,kuna magonjwa mengine yanaua kila kukicha,kwanini tulazimike kuagaza corona_
Magonjwa mengine yanaua lakini hayafanani na corona usifananishe Corona na majanga mengine ndiyo maana watanzania wanaacha kuchukua tahadhari kwa kufananisha Corona na magonjwa ya kawaida
 
Akili ya Mtanzania utaijua tu! Watu wanapukutika kila kona ya nchi kwa kila siku halafu unakuja kutangaziwa watu 6 unaona umepewa takwimu za vifo!![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Wamezoea uchakachuaji, ndo maana nikasema corona itakuwa kiboko ya kuwatimulia mbali. Maana hili gonjwa halina chama, na kama lingekuwa linagawiwa na CCM, wanachama wao wangepona na wananchi wengine kuchinjiwa baharini.

Wengi wanaotetea CCM hadi usawa huu ni mafisadi yaliyojificha ndani kwa kodi zetu. Hayo mafriji yao huwa yanajazwa bia na nyama kwa kodi zetu kila wiki ndo maana wanatoa maamuzi ya kipumbavu kabisa.

Wengine walikata mishahara yao pesa zikapelekwa kuwalisha wananchi walau kwenye partial lockdown. Wao bado wanatimkia bungeni nk kutafuna kodi huku wakisema mkijifungia mtakula nini!
 
Akili ya Mtanzania utaijua tu! Watu wanapukutika kila kona ya nchi kwa kila siku halafu unakuja kutangaziwa watu 6 unaona umepewa takwimu za vifo!![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Sasa tukisikilize wewe au waziri mkuu...si kila kifo ni corona jua hivyo.
 
Back
Top Bottom