Genius chelsea
Member
- Mar 18, 2018
- 57
- 76
We ulitaka waweke idadi ipi ili wawe wa kweli? Weka basi iliyo sahihi. Ina maana cases 400+ hazitoshi kukufanya wewe uchukue hatua staiki?hawa waongo, wako zaidi ya hao
sasa kama watu kwenye mitandao wanatoa ushuhuda jinsi ndugu zao walivyokufa na kuzikwa unatarajia nanai aamini.Hapa kila mtu ajikinge anavyojua mwenyeweHiyo ni lowest numbers possible after kupigwa editing.. Watanzania wenyewe hawaamini
sawa mkuu chukua hatua washatangaza sawa ila kujilinda wewe ni bora zaidi.Ndio maana tunaandika humu ili wao waone watimize wajibu wao na sisi tutimize wakwetu!
TUKO pabaya sana mkuu....yaa vitoto vipi vipo tuu mitaani,, baba kaenda kubangaiza sijui feri/kariakoo,,, mama anabangaiza mamantilie...aiseee.....tupaze sauti tuuMitaani bado watu wanakaa vijiweni vibarazani mikusanyiko ni mikubwa watoto wanacheza pamoja licha ya mashule kufungwa
Wametangaza...wewe ni mbwa
Akili ya Mtanzania utaijua tu! Watu wanapukutika kila kona ya nchi kwa kila siku halafu unakuja kutangaziwa watu 6 unaona umepewa takwimu za vifo!![emoji2211][emoji2211][emoji2211]We mbwa wamesema vifo vimeongezeka 6
Senti bai yuzingi tecno T301
Utakuwa umejifungia ndani kifisadi. Kila siku umekuwa ukiuliza wengine kama wao ndo wanefiwa hadi walalamike.
This is very serious, wastani wa Wagonjwa Wapya 39 kila siku?? Mungu tusaidie
Lete basi ushahidihawa waongo, wako zaidi ya hao
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu kilaza juha unawezaje kujua ujinga? Tokea lini mpumbavu akajua ujinga? Ondoka kwenye ukilaza uliokuzunguka kwanza ndipo uweze kukosoa chochote huna Akili lakini eti CCM inakutegemea kuitetea mitandaoni, CCM sijuia huwa wanawaokota wapi nyinyi mbumbumbu
unajua sisi tunaandika tu ila hatujuai ndani ya system kuna changamoto za namna gani kushughulikia ili janga la corona.Waziri wa Afya kakwepa Lawama baada ya kupita mitandaoni na kugundua watanzania wanajua taarifa zake huwa ni za kutengeneza, kawa Mjanja kaamua kumtupia mpra waziri mkuu ambaye akiingia mitandaoni atajutia kauli zake
We are "sinking" togetherAND THATS when tunadanganywa na bila kupima kwa saana..
LET THAT SINK IN
Ni mashindano? 😂 Umenichrkesha ingawa umefikiri na kuandika ujingaTumewapita hadi kenya
Magonjwa mengine yanaua lakini hayafanani na corona usifananishe Corona na majanga mengine ndiyo maana watanzania wanaacha kuchukua tahadhari kwa kufananisha Corona na magonjwa ya kawaidaNingekua mimi ndie nina maamuzi ya kuliende hili,nisingetangaza kifo wala maambukizi,jitihada zingekuwa katika kuwaelimisha watu kuhusu huu ugonjwa.Hakuna tija katika kutangaa vifo wala idadi ya wagonjwa.Kuna malaria yanaua,kuna magonjwa mengine yanaua kila kukicha,kwanini tulazimike kuagaza corona_
Wamezoea uchakachuaji, ndo maana nikasema corona itakuwa kiboko ya kuwatimulia mbali. Maana hili gonjwa halina chama, na kama lingekuwa linagawiwa na CCM, wanachama wao wangepona na wananchi wengine kuchinjiwa baharini.Akili ya Mtanzania utaijua tu! Watu wanapukutika kila kona ya nchi kwa kila siku halafu unakuja kutangaziwa watu 6 unaona umepewa takwimu za vifo!![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Sasa tukisikilize wewe au waziri mkuu...si kila kifo ni corona jua hivyo.Akili ya Mtanzania utaijua tu! Watu wanapukutika kila kona ya nchi kwa kila siku halafu unakuja kutangaziwa watu 6 unaona umepewa takwimu za vifo!![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Kwahiyo sasa hivi anaaminika nani?Wameshapoteza imani kwa wananchi. Hawawezi kuaminika tena kuanzia sasa na kuendelea.