Na kwa akili hiyo ndio maana hauna hayo maamuzi!Ningekua mimi ndie nina maamuzi ya kuliende hili,nisingetangaza kifo wala maambukizi,jitihada zingekuwa katika kuwaelimisha watu kuhusu huu ugonjwa.Hakuna tija katika kutangaa vifo wala idadi ya wagonjwa.Kuna malaria yanaua,kuna magonjwa mengine yanaua kila kukicha,kwanini tulazimike kuagaza corona_
Mungu yupi atakusaidia kama wewe kutwa upo vijiweni vibarazani Upo kwenye mikusanyiko Bar club na watoto wako wamejikusanya wanacheza pamoja, acheni kumshirikisha mungu kwenye Uzembe wenu.Mungu atusaidie tutuepusha katika janga.
Watu wa Mungu tuombe sana huku tukichukua tahadhari za covid 19.
Lakini wale ambao wanaona serikali haifanyi kitu chochote katika kupambana na covid 19 ni wasaliti na wananchi wenye imani na serikali yetu wawapuuze. Rais wetu mpendwa na serikali yetu kwa ujumla msikate tamaa tutashinda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unawaza kama Mimi vile! Maana sioni faida Wala hasara ya kutotangaza!! Zaidi watu wanajawa hofu tuNingekua mimi ndie nina maamuzi ya kuliende hili,nisingetangaza kifo wala maambukizi,jitihada zingekuwa katika kuwaelimisha watu kuhusu huu ugonjwa.Hakuna tija katika kutangaa vifo wala idadi ya wagonjwa.Kuna malaria yanaua,kuna magonjwa mengine yanaua kila kukicha,kwanini tulazimike kuagaza corona_
Bado hamjaridhika tu... mnataka watangazwe wangapi.hawa waongo, wako zaidi ya hao
Wanaaminika madaktari wa mloganzila Amana na Hosptal zingine wanaotoa taarifa kwa siri lakini za ukweliKwahiyo sasa hivi anaaminika nani?
We are "sinking" together
Hawajakupa siri ya kuwa na babaako kafariki?Wanaaminika madaktari wa mloganzila Amana na Hosptal zingine wanaotoa taarifa kwa siri lakini za ukweli
Utakuwa umejifungia ndani kifisadi. Kila siku umekuwa ukiuliza wengine kama wao ndo wanefiwa hadi walalamike.
Watangaze ukweli hata wewe ukiona utaamini ni ukweli, huoni taarifa ya leo hata Ummy mwalimu kaikacha kamuogopa mungu kaamua akae kimya kamwachia waziri mkuu
Wanayo siri kuwa mama yako wewe yupo mbioni kufa na wewe pia kwa kuwa unashinda vijiweni na kuzurula hovyoHawajakupa siri ya kuwa na babaako kafariki?
Ukiwa kiongozi hakika unakuwa bebeo la chawa, wewe nawe ni miongoni mwa chawa hao, kwani yeye Waziri mkuu haogopi Mungu? Daah, wabongo mnamaneno Hadi Karaha aiseeWatangaze ukweli hata wewe ukiona utaamini ni ukweli, huoni taarifa ya leo hata Ummy mwalimu kaikacha kamuogopa mungu kaamua akae kimya kamwachia waziri mkuu
Mimi naona uwepo wa juhudi za wazi kabisa kutoka juu kuongeza maambukizi. Sioni bahati mbaya yotote, labda kama wenye maamuzi wanaishi pangoni.Mitaani bado watu wanakaa vijiweni vibarazani mikusanyiko ni mikubwa watoto wanacheza pamoja licha ya mashule kufungwa
Mamaangu alifariki tangu 1996. Kama wamekwambia yupo mbioni kufarki, basi wamekudanganya. Ndio maana tunataka 'Taarifa Rasmi' na sio zenu za uchochoroni zenye idadi ya watu waliofariki mwaka 1996!Wanayo siri kuwa mama yako wewe yupo mbioni kufa na wewe pia kwa kuwa unashinda vijiweni na kuzurula hovyo
Wewe ni Mbwa. Wametangaza vifo 6.Punguza UJUAJI wa KIPUMBAVU. Watu wanaopukutika yupo mama wako?Yupo baba wako au ukoo wako mzima ktk hao wanaopukutika?Akili ya Mtanzania utaijua tu! Watu wanapukutika kila kona ya nchi kwa kila siku halafu unakuja kutangaziwa watu 6 unaona umepewa takwimu za vifo!![emoji2211][emoji2211][emoji2211]