COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Ningekua mimi ndie nina maamuzi ya kuliende hili,nisingetangaza kifo wala maambukizi,jitihada zingekuwa katika kuwaelimisha watu kuhusu huu ugonjwa.Hakuna tija katika kutangaa vifo wala idadi ya wagonjwa.Kuna malaria yanaua,kuna magonjwa mengine yanaua kila kukicha,kwanini tulazimike kuagaza corona_
Na kwa akili hiyo ndio maana hauna hayo maamuzi!
 
Mungu atusaidie tutuepusha katika janga.
Watu wa Mungu tuombe sana huku tukichukua tahadhari za covid 19.
Lakini wale ambao wanaona serikali haifanyi kitu chochote katika kupambana na covid 19 ni wasaliti na wananchi wenye imani na serikali yetu wawapuuze. Rais wetu mpendwa na serikali yetu kwa ujumla msikate tamaa tutashinda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu yupi atakusaidia kama wewe kutwa upo vijiweni vibarazani Upo kwenye mikusanyiko Bar club na watoto wako wamejikusanya wanacheza pamoja, acheni kumshirikisha mungu kwenye Uzembe wenu.
 
Hi
Ningekua mimi ndie nina maamuzi ya kuliende hili,nisingetangaza kifo wala maambukizi,jitihada zingekuwa katika kuwaelimisha watu kuhusu huu ugonjwa.Hakuna tija katika kutangaa vifo wala idadi ya wagonjwa.Kuna malaria yanaua,kuna magonjwa mengine yanaua kila kukicha,kwanini tulazimike kuagaza corona_
Mkuu, unawaza kama Mimi vile! Maana sioni faida Wala hasara ya kutotangaza!! Zaidi watu wanajawa hofu tu
 
Aiseee makonda alipondwa na upigaji dawa....

Sasa sjui ataambiwa aanze operation mpya


Anyway

Tujifukize kwa wingi sana na kunawa mikono na maji tiriririririririririririKkkka
 
jmushi1,
Mkuu sasa huo mwingine ni wivu ingawa ndani ya hoja zako zipo point nyingi za maana, kuondoa huo wivu kachukue fomu gombea ili kuondoa hayo mkuu
 
Anawalaumu watu kupotosha wakati kosa ni la kwao kwa kukataa kutoa data. Kama wangeliendelea kutoa data kama mwanzo hizi kelele za mtaani zisingekuwepo. Kama watu wasingepiga kelele au vifo vya wakubwa visngetokea nafikiri jamaa wangeuchuna!!

Anyway, hata hivyo hizi figure walizozitoa zitakuwa zimechakachuliwa .......!!
 
Watangaze ukweli hata wewe ukiona utaamini ni ukweli, huoni taarifa ya leo hata Ummy mwalimu kaikacha kamuogopa mungu kaamua akae kimya kamwachia waziri mkuu
Ukiwa kiongozi hakika unakuwa bebeo la chawa, wewe nawe ni miongoni mwa chawa hao, kwani yeye Waziri mkuu haogopi Mungu? Daah, wabongo mnamaneno Hadi Karaha aisee
 
Mitaani bado watu wanakaa vijiweni vibarazani mikusanyiko ni mikubwa watoto wanacheza pamoja licha ya mashule kufungwa
Mimi naona uwepo wa juhudi za wazi kabisa kutoka juu kuongeza maambukizi. Sioni bahati mbaya yotote, labda kama wenye maamuzi wanaishi pangoni.
 
Wanayo siri kuwa mama yako wewe yupo mbioni kufa na wewe pia kwa kuwa unashinda vijiweni na kuzurula hovyo
Mamaangu alifariki tangu 1996. Kama wamekwambia yupo mbioni kufarki, basi wamekudanganya. Ndio maana tunataka 'Taarifa Rasmi' na sio zenu za uchochoroni zenye idadi ya watu waliofariki mwaka 1996!
 
Akili ya Mtanzania utaijua tu! Watu wanapukutika kila kona ya nchi kwa kila siku halafu unakuja kutangaziwa watu 6 unaona umepewa takwimu za vifo!![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Wewe ni Mbwa. Wametangaza vifo 6.Punguza UJUAJI wa KIPUMBAVU. Watu wanaopukutika yupo mama wako?Yupo baba wako au ukoo wako mzima ktk hao wanaopukutika?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Back
Top Bottom