#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

Tumepewa chanjo mil 1. Tz ina wananchi zaidi ya milioni 50. Sidhani kama kuna muda wa kushawishi mtu kwa sasa.
 
1. Nikichanjwa naacha kuvaa barakoa?


2. Nikichanjwa sitaambukizwa?


3. Nikichanjwa siwezi kuugua?


4. Nikichanjwa siwezi kufa?


5. Nikichanjwa ikija Corona ya design nyingine siwezi ambukizwa?

1. Hapana huachi kuvaa, utaendea kuvaa
2. Utaambukizwa
3. Utaugua na inategemea na kinga mwili yako
4. Kufa utakufa siku ikitimia
5. Corona ya aina nyingine ikija itategemea unaweza kuipata au kutoipata kulingana na uwezo wa chanjo
 
Kwa sasa chanjo ni hiari ndugu wala usiwe na jazba, kuwa na amani.

Halafu hilo swali no.4......
 
Pengine huyu jamaa hata mkokoteni tu hajawahi miliki lakini anaogopa kufa

Masikini wanafki sana
Hakuna mtu anaogopa kufa kama sisi maskini,,sababu tunaamini iko ukiwa mzima iko siku utakutana na korongo ukatajirika!
 
Ni vile hatupendi kuwasikiliza vyema wataalamu wa afya badala yake TUNAMPA MASIKIO ASKOFU GWAJIMA 🤣

Anyways ,hii chanjo ya J&J ina vidudu ndani yake...virusi viitwavyo ADENOVIRUS...hivi vikiingia mwilini mwa mtu huamsha kinga(seli nyeupe) kupambana navyo....

Ikumbukwe Vidudu hivyo(ADENOVIRUS) kimaumbile vinafanana na virusi vya CORONA ila tu vinakuwa vimepunguzwa nguvu ya kuleta madhara.....

Mwili uliochomwa chanjo hiyo huwa na uwezo wa kupambana na virusi vya CORONA pale vinaposhambulia....kwa kuwa MWILI unakuwa na kumbukumbu ya kupambana na vile virusi vya ADENOVIRUS katika ile chanjo ,basi hata Kama ukipata maambukizi mapya(mathalani hii Delta)basi hutoweza kufikia madhara ya kulazwa ama kutibiwa CHUMBA CHA DHARURA na gesi puani......

Kuhusu kifo huweza kufa yeyote tu hata bila ya kuumwa.....

#TujitokezeniKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Acha uwoga
IMG_20210730_205322.jpg
 
Nenda kachanje, mbona huwa mnachanjwa chale za kuzuia kulogwa na wachawi na bado mkisafiri kwenda mikoa mingine huwa mnalogwa tena.
Duu! Zero IQ hili nalo jibu kweli kweli, chale zinachanjwa mpaka sehemu isiyo tamkika[emoji23]
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Back
Top Bottom