Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Kama ulichoandika ni kweli basi itakuwa ni vyema maana hakuna umuhimu wa kutangaza vifo maana tutatiana presha bureMbona vifo hawatangazi? Kwa siku 14 jengo la Life House halitakuwa na huduma ya lift kuanzia kesho, Kuna mfanyakazi ghorofa ya tatu kafa na vijirusi. Pia watapuliza dawa jengo zima.
Kuna jamaa mwingine alikuwa na bar maarufu, nae kaenda kimya kimya, naona Sasa hiii ni ngoma ya kimya kimya
Vituo vya mwendo kasi leo walikuwa wanapiga dawa.Mbona vifo hawatangazi? Kwa siku 14 jengo la Life House halitakuwa na huduma ya lift kuanzia kesho, Kuna mfanyakazi ghorofa ya tatu kafa na vijirusi. Pia watapuliza dawa jengo zima.
Kuna jamaa mwingine alikuwa na bar maarufu, nae kaenda kimya kimya, naona Sasa hiii ni ngoma ya kimya kimya
Hesabu ulijifunzia wapi bwashee?!Ongezeko la 105% ndani ya saa 24
Wewe ni mpumbavu!! Kila kitu kulaumu!!
Tuombeni Mungu kwani wangapi walichukua tahadhari na bado ugonjwa ukasambaa? Unatamani lock down wananchi wataishije? Kisa unalala na kunywa kwa nguvu ya wengine ? Tuombeni Mungu tupunguze lawama!
Sent using Jamii Forums mobile app