Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Kama ulichoandika ni kweli basi itakuwa ni vyema maana hakuna umuhimu wa kutangaza vifo maana tutatiana presha bureMbona vifo hawatangazi? Kwa siku 14 jengo la Life House halitakuwa na huduma ya lift kuanzia kesho, Kuna mfanyakazi ghorofa ya tatu kafa na vijirusi. Pia watapuliza dawa jengo zima.
Kuna jamaa mwingine alikuwa na bar maarufu, nae kaenda kimya kimya, naona Sasa hiii ni ngoma ya kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app