COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

luck,
Rudi tena darasani Kijana; Kuepuka Covid 19, sio rahisi kama ulivyopendekeza ingekuwa mtihani hapo umepata 50% huku unajiaminisha kuwa umefaulu vizuri...
 
Wewe umekremishwa na ukameza bila kutafakari,mathalani upo sokoni au kwenye daladala,je akitokea mtu anakohoa au anaongea na hajavaa mask na droplets zikatua ktk uso wako na pengine ana virus nini kitatokea?
Na vilevile mask inakusaidia ku shape tabia zetu za kushika pua,mdomo kwa kujisahsu.
Jiulize wahudumu wa afya wanaovaa hizo mask wao wanaumwa?
hivi wewe fala unamsogelea mtu hadi akurushiie mate yake usomi mwako umemangalia tu, nakushangaa sana, acha kukariri mmi ni daktari makini, bingwa, acha kuvaa mask kama upo katika maeneo na huumwi kufua kikohozi chochote,majinga wachache kama huyu wanadanganya watu, mask yako watu waliokaribu yako wakikohoa na ondoka hapo haraka. Madaktari na manesi nawataka wavae mask, wew mwananchi wa kawaida unavaa barakoa uko peke ako are you crazy?

unaziba uso, mdomo, na pua mikono, mifuko, simu, nguo ulizovaa ziko exposed, fala wewe, hakikisha unajilinda pande zote, kushika pua ni tabia mbya uiachache tu muhimu zaidi nawa kila mara, ila jua una nawa kila saa, ukijua una sehemu nyingine zinagusa maeneo yaliyoshikwa na wengine.
 
Hilo neno kwenye RED ni zito sana lakini ndio ukweli wenyewe...
Inaumiza sana mkuu tusipokuwa serious na serikali yetu ikiendelea kufanya mzaha tutakwisha.........Africa tumepigwa sana na HIV+ sasa na hii covid19 tukiifanyia mzaha itatuchakaza vibaya.
 
hivi wewe fala unamsogelea mtu hadi akurushiie mate yake usomi mwako umemangalia tu, nakushangaa sana, acha kukariri mmi ni daktari makini, bingwa, acha kuvaa mask kama upo katika maeneo na huumwi kufua kikohozi chochote,majinga wachache kama huyu wanadanganya watu, mask yako watu waliokaribu yako wakikohoa na ondoka hapo haraka. Madaktari na madesi nawataka wavae mask, wew mwananchi wa kawaida unavaa barakoa uko peke ako are you crazy?

unaziba uso, mdomo, na pua mikono, mifuko, simu, nguo ulizovaa ziko exposed, fala wewe, hakikisha unajilinda pande zote, kushika pua ni tabia mbya uiachache tu muhimu zaidi nawa kila mara, ila jua una nawa kila saa, ukijua una sehemu nyingine zinagusa maeneo yaliyoshikwa na wengine.
Nina hakika hata darasa hujaona maana unaandika uharo,kwa hiyo tuwe tunavizia mtu akikohoa ukimbie very stupid.Muerevu yoyote anavaa barakoa kujilinda yeye na kulinda wengine in case ana maambukizi na bado hajajijua.
Leo hospital kibao hawaruusu Mgonjwa au ndugu wa mgonjwa kuingia hospital bila mask,unawapa maagizo gani Dr bingwa?
 
P
KWA WAKIOSOMA POST YANGU YATAKAYOJIRI KWENYE COVID 19
VIFO KADHAA VYA WATUMAARUFU NA WAH KADHAA KUONDOKA
MWISHO KUANZIA MAY 5 BAADHI YA NCHI ZITAKUWA HURU ULA KWA AFRICA KUANZIA JUN 5 NK COVID ITAANZA KUWAACHIA BAADHI YAO

WAPO BAADHI WATATESEKA BAADA YA JUNE HESABU MIEZI MINNE KUNA VIFO KADHAA KUTANGAZWA HIVI AVIANGALII NINI NANI N WALE WALIOATHIRIKA WAKAPONA LAKIN KUTOKANA NA KINGA ZAO BAADHI YA VIUNGO VIMEATHIRIKA NA VINAMALIZIKA POLEPOLE 2-4 MONTHS

KAMA N MMOJA WAO JITAHIDI KUPIMA MARAKWAMARA NDAN YA MIEZI HII
KWA AJILI YA AFYA YAKO

TANGU,LIZI
 
Piddy wewe ni mganga eee, nakubakiana nawe, anyway watu hawasubirii utabiri wako, wanaondoka tu, sana.

Ikumbukwe tz Ina raia 57 mil. nchi inayokimbizana na tz ni Congo. Tusiombe Mungu Pekee, ni vema tukajilinda pia.

Ukitoka kutafuta rizk hakikisha hupeleki Corona nyumbani, vaa covid 19 protection gear, badili tabia, achana na vyakula vya wanga sana. Sukari punguza, na chumvi, ule matunda na mbogamboga kwa wingi.

Mayai maziwa nk. Fanya mazoez Mara tatu kwa wiki, au zaidi. Kuku na samaki ndio nyama recommended, hakikisha unapata machungwa, limao nk

Corona inaangalia sehem dhaifu. Punguza kupiga mshededu kwa wale vijana, wazee tuache kabisa, ikiwezekana piga mara chache sana.

Tujifukize, kwa umaskini mkubwa, usijifukize kwa kudhani unapunzi ukae saaaana kwenye nyungu no, kiasi tu. Epuka kunywa maji na vitu mbalimbali vya baridi.

Wazee wetu wafanye mazoez madogomadogo peke yao,btu toepushe kuwahatarishia maisha yao.

Tusivae groves kwa kujilinda umuachie mwingine Corona sehem unazoshoka, utakuja kushoka mwenyewe
 
Back
Top Bottom