Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
MTAALAMU umenena vema. Tatizo nchi yetu huwa haiwahitaji watu wastaarabu, waungwana na waadilifu.Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.
Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.
Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.
Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
Kama nakubaliana naweWapare wako vizuri sana kwenye uongozi.
Wapare wako vizuri sana kwenye uongozi.
Wakina basil mramba au sio.?Kama nakubaliana nawe
JIMBO NI KUMSUMBUA APEWA UWAZIRI MKUUKama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.
Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.
Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.
Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.
Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.
Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.
Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
Diwani alisoma na baba hata mzee anasema hivyo pia kuwa Diwani ni mtu wa Dini saana na mstaarabu
Hajui Acha Tukae KimyaMkuu vipi unajua akiko baada ya kukikataa kile cheo kipya alichopewa na mkulu.
Kwa aina ya wabunge waliopo hivi sasa nakubaliana nawe 25 tupindue meza na kuinyofoa miguu kabisaKama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.
Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.
Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.
Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
ni muungwana nimejenga nyumba yk moja apa dar nikiwa kibarua apend zuluma ila tatzo mfumo wa inchi hii hautak watu wema lazima abadilishwe ama apende au asipendeDiwani alisoma na baba hata mzee anasema hivyo pia kuwa Diwani ni mtu wa Dini saana na mstaarabu