CP Diwani Athumani - ni mtu muungwana sana 2025 tumpe jimbo

CP Diwani Athumani - ni mtu muungwana sana 2025 tumpe jimbo

Wakina basil mramba au sio.?

..Mramba ndiye waziri wa fedha aliyewezesha Tanzania tukasamehewa madeni sugu.

..Kesi yake na Yona ilikuwa ya kisiasa zaidi.

..walifungwa kwa kufanya maamuzi yaliyopelekea tukapoteza kodi tsh.11 billion.

..sasa linganisha Mramba na Yona na waliofanya maamuzi tukaingia hasara na kulipishwa mabilioni ktk haya makesi tunayoshindwa kila siku.

..majuzi KIKWETE kaenda kuzuru kaburini kwa Basil Mramba. Sijui nafsi imemsuta?
 
Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.

Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.

Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.

Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
hawa ndio watu waliotoa ushauri bora kuhusiana na dipiiwedi wakawekwa pembeni. kwanini tusiamini allegation hii?
 
Back
Top Bottom