CP Diwani Athumani - ni mtu muungwana sana 2025 tumpe jimbo

Wakina basil mramba au sio.?

..Mramba ndiye waziri wa fedha aliyewezesha Tanzania tukasamehewa madeni sugu.

..Kesi yake na Yona ilikuwa ya kisiasa zaidi.

..walifungwa kwa kufanya maamuzi yaliyopelekea tukapoteza kodi tsh.11 billion.

..sasa linganisha Mramba na Yona na waliofanya maamuzi tukaingia hasara na kulipishwa mabilioni ktk haya makesi tunayoshindwa kila siku.

..majuzi KIKWETE kaenda kuzuru kaburini kwa Basil Mramba. Sijui nafsi imemsuta?
 
hawa ndio watu waliotoa ushauri bora kuhusiana na dipiiwedi wakawekwa pembeni. kwanini tusiamini allegation hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…