Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Je ni Wajibu wako kuangalia Kura zikiibiwa na Tume FEKI na Mapolisi wanaofanya Siasa?!Ni Wajibu wangu kikatiba kupiga kura.
Nategema pia polisi kunilinda siku naenda kupiga kura.
Nategemea hawa polisi wanilinde kutokana na vurugu na vurumai ambazo CHADEMA wataenda kuzifanya na hatimae kuninyima haki yangu ya kupiga kura.
CHADEMA isiruhusiwe kuvunja sheria za nchi na uchaguzi kuninyima haki yangu ya msingi.
Ndio maana kuna uchaguzi. Uchaguzi unanipeleka kumpigia kura mwakilishi wangu ambae wajibu wake ni kuangalia kama kura zimeibiwa n.k Ndivyo katiba inavyosema.Je ni Wajibu wako kuangalia Kura zikiibiwa na Tume FEKI na Mapolisi wanaofanya Siasa?!
Unatambua kabisa, polisi ilianzishwa na Wazungu kulinda wenye nazo. Mimi kama muafrika nimerithi na naambiwa 'it is part of democracy' and social cohesion😂😂😂😂😜Je Jeshi la Polisi lilianzishwa kwa ajili ya kuiba Kura?! hebu wasikilizeni hapa Mapolisi wa CCM.
Polisi wa Sultani wa Kiarabu huko Zanzibar pia walitimuliwa na People's Power hapa Bara tuko milioni 60.Unatambua kabisa, polisi ilianzishwa na Wazungu kulinda wenye nazo. Mimi kama muafrika nimerithi na naambiwa 'it is part of democracy' and social cohesion
Peoples power ama Okello bana. Hebu mpeni maua yake loh.Polisi wa Sultani wa Kiarabu huko Zanzibar pia walitimuliwa na People's Power hapa Bara tuko milioni 60.
Je na chama dola kikifanya njama za kuiba kura nao mtawachukulia hatua za kisheria?Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia vitendo vyote vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3-6, 2025, CP Mkumbo amesema "tayari tuko timamu hata kama uchaguzi ungekuwa keshokutwa tayari tupo timamu kuhakikisha kwamba tunausimamia vyema ili uweze kuendeshwa kwa utaratibu ambao umepangwa na tume ya uchaguzi"
CP Mkumbo ameongeza kuwa katika kipindi chote cha uchaguzi jeshi hilo litahakikisha usalama kwa watu wote ikiwemo waandishi wa habari wakati wanatekeleza majukumu yao.
Aidha amesisitiza uzalendo katika kipindi chote cha uchaguzi kwani uzalendo ukiwepo basi usalama utaweza kuwa mkubwa kwa kuangalia maslahi mapana ya taifa letu.
CP Mkumbo ametoa wito kwa wananchi kuheshimu mipaka ya haki pamoja na kutambua wajibu wa kila mmoja katika kutekeleza majukumu yao na kulinda amani ya taifa kwa pamoja.
View attachment 3297173
Okello wetu ni Tundu Antipas Mughwai Lissu "Simba wa Kizimkazi".Peoples power ama Okello bana.
Nanyi tumewazoea. Mnatishia sana mitandaoni, lakini kwenye reality afadhali ya mbwa koko!!Tumewazoea.
Huyo simba hana hata sharubu, hana sera, ni ukorofi tu hata ukimuweka zoo anaeza hatarisha maisha ya wengi.Okello wetu ni Tundu Antipas Mughwai Lissu "Simba wa Kizimkazi".
Simba ni Simba mura!Huyo simba hana hata sharubu, hana sera, ni ukorofi tu hata ukimuweka zoo anaeza hatarisha maisha ya wengi.
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia vitendo vyote vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3-6, 2025, CP Mkumbo amesema "tayari tuko timamu hata kama uchaguzi ungekuwa keshokutwa tayari tupo timamu kuhakikisha kwamba tunausimamia vyema ili uweze kuendeshwa kwa utaratibu ambao umepangwa na tume ya uchaguzi"
CP Mkumbo ameongeza kuwa katika kipindi chote cha uchaguzi jeshi hilo litahakikisha usalama kwa watu wote ikiwemo waandishi wa habari wakati wanatekeleza majukumu yao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025