Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 289
- 415
Kweli wewe MarburgMajembe ya CCM, huku Wasira kule CPA Makala, π€£π€£π€£π€£ kweli huu ni kupatwa kwa chama tawala, "an eclipse of CCM casting its shadow to Tanzanians" mind, poor reasoning and lazy thinking"
Amevimbiwa michembe huyoNimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
Umemsahau Nchimbi na Makonda.. ππππMajembe ya CCM, huku Wasira kule CPA Makala, π€£π€£π€£π€£ kweli huu ni kupatwa kwa chama tawala, "an eclipse of CCM casting its shadow to Tanzanians" mind, poor reasoning and lazy thinking"
π π πNi sahihi
Kingereza hiki sijaelewa kabisa.Majembe ya CCM, huku Wasira kule CPA Makala, π€£π€£π€£π€£ kweli huu ni kupatwa kwa chama tawala, "an eclipse of CCM casting its shadow to Tanzanians" mind, poor reasoning and lazy thinking"
Hizi nafasi mbili zinatimiza tu yale yaliyotabiriwaKusema ukweli uongozi wa sasa wa CCM ni majanga hiyo nafasi ya mwenezi sioni anachoeneza hana mvuto ukija kwa mzee wangu Wassira umri umemtupa hilo tu linaleta maswali mengi vichwani mwa watu comrade nchimbi ni matured na anaweza uongozi ila sasa mvuto jamani najua hapa sitaeleweka ila majibu yatapatikana baada ya uchaguzi ujao
Jifunzeni siasa ...CCM wanajua sana kucheza na akili za watanzania ambao wengi wetu ni wajinga...ameyasema haya kiji gani sijui ambako kumejaa illiterate peopleKusema ukweli uongozi wa sasa wa CCM ni majanga hiyo nafasi ya mwenezi sioni anachoeneza hana mvuto ukija kwa mzee wangu Wassira umri umemtupa hilo tu linaleta maswali mengi vichwani mwa watu comrade nchimbi ni matured na anaweza uongozi ila sasa mvuto jamani najua hapa sitaeleweka ila majibu yatapatikana baada ya uchaguzi ujao
Hakuna Ubishi Haiba, Mvuto, Ushawishi Hawana Yapo Kama MajokerKusema ukweli uongozi wa sasa wa CCM ni majanga hiyo nafasi ya mwenezi sioni anachoeneza hana mvuto ukija kwa mzee wangu Wassira umri umemtupa hilo tu linaleta maswali mengi vichwani mwa watu comrade nchimbi ni matured na anaweza uongozi ila sasa mvuto jamani najua hapa sitaeleweka ila majibu yatapatikana baada ya uchaguzi ujao
Ikipita muda huo watangaze kuwa ni mtu wa hovyo Tanzania,Chamani kwake,Afrika na pengine duniani.Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
Akili za ccm anaoonwa bora zaidi ndani ya chama chao.Ila CPA Amaos Makalla anachekesha kwa kweli, analeta ukomedi kwenye siasa kusema CHADEMA wanachangishana walete virusi vya marbugy na m pox nchini, huu ni mzaha na utani.