CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
Endapo kukawa na ushahidi sura mtazificha wapi?
 
Eti mtu kama Makala nae ni mmoja ya washauri wa Mh Rais, kichama HOVYO KABISA
Mh Rais, achana na hawa wajali matumbo yao na sikiliza matamanio ya Watanzania juu ya Uchaguzi huru na wa haki kwa kufanya marekebisho madogo ya Katiba ili kuruhusu tume huru ya kweli ya Uchaguzi
 
Ndugu Makalla ni mtoto wa LAANA kama Lijualikali..ni mtu asiye na staha wala aibu..

Huwezi kuongea jambo la hovyo kama lile halafu unaendelea na ziara kama kawaida
 
Back
Top Bottom