CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
Waweke top 10
CPA makalla
Lucas mwashambwa
Thtaatat
Wasira
Yule pm alie sema wenye degree waende veta

List ni ndefuu Sana watuwekee ili Wana nchi tujue .
 
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
#hovyokabisa😂😂
 
Mahakama zipo mshtakini tu
 
Ila CPA Amaos Makalla anachekesha kwa kweli, analeta ukomedi kwenye siasa kusema CHADEMA wanachangishana walete virusi vya marbugy na m pox nchini, huu ni mzaha na utani.
Kama hamnazo hivi
 
Kwa heshima na taadhima namuomba mara moja Bwana Amos Makalla aombe radhi maana kutangazwa kuwa mtu wa hovyo kitaifa atahatarisha wenye majina ya Amos wote na makalla wote nchi nzima .

Hivyo afanye kukubali kuomba msamaha kuokoa vizazi vya badaye
 
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
Haitaleta tofauti kwani wanaccm wote ni watu wa hovyo, hawajutii mauaji wanayoyafanya.
 
Achongewe sanamu pale alipo tamka
 
Ni sahihi kabisa, hakika makala ni mtu wa hovyo ipo wazi, kauli kama hiyo hawezi kutoa mtu ambaye yupo vizuri upstairs labda kama ana mental problem
 
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
Wasira na makala ni kundi hilo hilo😂
 
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣

Siyo mtu wa hovyo tu, bali atatangazwa kuwa mtu wa hovyo kulkko wote. Na hiyo itamaanisha kuwa CCM inaongozwa na mtu wa hovyo kuliko wote.

Mtu wa hovyo maana yake ni binadamu takataka, ni mtu asiye na faida kwa yeyote na kwa kitu chochote.

Kwa sasa mtu akikuambia 'makala wewe', ni aheri akuambie, mpumbavu.
 
Jifunzeni siasa ...CCM wanajua sana kucheza na akili za watanzania ambao wengi wetu ni wajinga...ameyasema haya kiji gani sijui ambako kumejaa illiterate people

Sisi na CHADEMA tutatua na helkopta na kuanza katiba katiba ...sawa iongelee katika namna wataelewa

Huko umaskini umekithiri...huku utasikia mkimchagua TUNDU LISSU ataleta vita...CHADEMA iache kufanya siasa za vyuo vikuu kwa wanakijiji
Unaweza ukawa sahihi. Lakini mambo huenda yakibadilika ama polepole au kwa kasi. Kumbuka jana sio leo, na wala leo haiwezi kuwa kesho.
 
Back
Top Bottom