Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Waweke top 10Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
#hovyokabisaππNimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
Umekomelea msumari wa moto sana mkuu, HahahahahaIkipita muda huo watangaze kuwa ni mtu wa hovyo Tanzania,Chamani kwake,Afrika na pengine duniani.
Mahakama zipo mshtakini tuNimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
HahahaWakitangaza BBC itakuwa unyama zaidiπΏ
Kama hamnazo hiviIla CPA Amaos Makalla anachekesha kwa kweli, analeta ukomedi kwenye siasa kusema CHADEMA wanachangishana walete virusi vya marbugy na m pox nchini, huu ni mzaha na utani.
Haitaleta tofauti kwani wanaccm wote ni watu wa hovyo, hawajutii mauaji wanayoyafanya.Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
Wasira na makala ni kundi hilo hiloπNimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje πππ€£π€£π€£
Unaweza ukawa sahihi. Lakini mambo huenda yakibadilika ama polepole au kwa kasi. Kumbuka jana sio leo, na wala leo haiwezi kuwa kesho.Jifunzeni siasa ...CCM wanajua sana kucheza na akili za watanzania ambao wengi wetu ni wajinga...ameyasema haya kiji gani sijui ambako kumejaa illiterate people
Sisi na CHADEMA tutatua na helkopta na kuanza katiba katiba ...sawa iongelee katika namna wataelewa
Huko umaskini umekithiri...huku utasikia mkimchagua TUNDU LISSU ataleta vita...CHADEMA iache kufanya siasa za vyuo vikuu kwa wanakijiji