CPA(T) v/s MASTERS


Ukifa ukiwa na CPA wasema alikuwa na Cheti cha juu kabisa cha Uhasibu....ila wakisema cha Tecknohama kijiji kwenu watapata shida kidogo Billie
 

:shut-mouth:
 

Are you 100% sure of what you are talking about? Nina wasiwasi sana na uelewa wako wa mambo. Una elimu gani wewe na lini ulienda na CPA nje ya nchi na isitambuliwe au ni wapi waajiri wa Tanzania hawahiitaji Masters? Stop these sweeping statements of yours!!!!

Tiba
 
Nimeangalia comments zote sijaona hata moja ambayo inampa ushauri wa kueleweka aliyeomba ushauri.
Mimi ngoja nitoe wa kwangu. Asikutishe mtu yeyote kwamba CPA haipatini kirahisi. Watu waliowengi wakapeti wanafanya CPA wanafanya kwa kubeep. Utakuta mtu anajiandaa wiki moja harafu anakwenda kufanya mtihani. Hiyo wanaweza wale ambao ni majiniasi. Kama wewe uwezo wako ni mdogo inabidi ufanye maandalizi ya muda mrefu. Na kamkiamua kufanya hiyo CPA jitahidi kila session uwe utafanya ninauhakika itakuchukua muda mfupi.

Kuhusu kupata kazi jamani inategemeana. Unaweza ukawa unafanya kazi na mtu ambaye hana CPA na wewe una CPA ambaye hana CPA akawa boss wako. Sababu huwa ni nyingi. Kuna mwingine anapewa cheo kwa kujikomba kwa wakubwa au kwasababu nyingine.

Kwenye makampuni ya Ukaguzi wa hesabu ( Audi firms) CPA, ACCA, CIMA inathaminiwa zaidi kuliko Masters. Kuhusunayofany Mshahara inategemea na Sector ua kazi. Kama unafanya kazi kwenye Sector ya afya usishangae Medical Doctor akapata mshahara mkubwa kuliko mwenye CPA, ACCA au CIMA.


Kuhusu CPA kutothaminiwa kuliko ACCA au CIMA. Ni zile kasumba za watu. Watanzania hatuthamini kitu chetu. Kama kampuni niya Mwingireza atathamini ACCA zaidi kuliko ACCA.

Kwa ushauri wangu unaweza kuanza chochote kati ya Masters na CPA kulingana na unachotaka kufikia kwa muda fulani.

AKsanteni
 

Teh teh teh. mi napita tu
 

Teh teh teh teh mambo ya binadamu haya
 

uuuuuhhhh!!!,
 
Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....

Inategemea na malengo yako ...kama unataka kuwa na maisha mazur vyote hivo sio lazima .....masters ni muhim kama unataka kurise into managerial positions ....CPA ni muhim kama unataka kazi za auditing/accounting ...kingine ...masters ni hela yako tu ...bt cpa inataka maandalizi ya kutosha ...ndo mana watu wengi walioko makazin wanashindwa kuchomoa coz awana mda wa kutosha kucover syllabus pamoja na kufanya maswali ya kutosha
 

thibitisha ni kazi gani hapa duniani zaidi ya ualimu unayomfaa mtu mwenye masters, unajua kirefu cha CPA(T) we mbwiga? unafikiri ingekuwa global ilo (T) ni la kazi gani? una akili ndogo kama jk dogo.
 

managerial positions na masters havina uhusiano, masters ina uhusiano na tutors. we need leaders not managers.
 
thibitisha ni kazi gani hapa duniani zaidi ya ualimu unayomfaa mtu mwenye masters, unajua kirefu cha CPA(T) we mbwiga? unafikiri ingekuwa global ilo (T) ni la kazi gani? una akili ndogo kama jk dogo.

Nikiendelea kujibizana na wewe nitakuwa najidhalilisha as it is seems there is such a big difference between me and you. Kichaa akikunyanganya nguo akakimbia na wewe ukaanza kumfukuza, wote mtaonekana ni vichaa!!! Endelea kushikiria unachokiamini!!!!

Tiba
 
kama wewe ni mtumishi wa umma masters ni kwa ajili ya kupata nafasi za kiutawala zaidi alafu haina promotion.
CPA ndio mpango mzima unaweza kuwa hata mhasibu mkuu wa wilaya au wizara, na promotion zipo ila sasa serikali imebana kidogo.
nashauri piga CPA kwanza
 
Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....
wewe acha ujinga huooooo!wenzako tunatafuta pesa sio ,vyeti ili umtumikie mwajiri tafuta njia ya kujiajiri mwenyewe ukiendelea na mawazo hayo yakuta futa vyeti kibaokibao umri unasonga alafu ujafanya chochote eti kisa CPA& MASTERS
unajua watanzania wengi tunakuwa mambumbumbu ,yaani ukiona fulani ametoka kimaisha baada ya kupata CPA basi wote tunakimbilia huko,hii imefanya hata thamani ya CPA na MASTERS kutokuwa na maaana kabisa,now days mtu mwenye CPA niwakawaida sana! wengi tu nawajua hata kazi hawana wanatembea na baasha zao tu! mjini kutafuta kazi,na bado wakipewa kazi hawapocompentent ,nilishashuhudia mmoja alishindwa ku reconcile bank statement mpaka secretary mzoefu alipomsaidia hapa ofisini,tulipo muhoji vizuri huko aliko toka alikwa ni principal accountant kazi yake ni kusign vourcher tu!
ila kwa upande mwingine kama unasoma CPA& MASTERS kwa ajili ya kujiajiri mwenyewe hilo ni jambo jema sana kwani siku hizi kuna upungufu mkubwa wa certfied accountant& tax consultant firms,mtu anayesoma kwa ajili hiyo mm namsapport 100% kwani atasaidia kutupunguzi cost sisi wenye vikampuni uchwara hela za kuwalipa consultancy wa tax na accountant,maana siku hizi bei wanakupigia us $ 50 per hour no negotiation
 
Obama wa bongo or whatever u call ur self,pls watch ur mouth hatupo hapa kwa ajili ya matusi sawa,kwanza wewe mwenyewe ni bonge la mburura kwa kushadadia majina ya watu maarufu,ebu jiite lile jina ulilopewa na wazazi wako tulisikie lilivyo la ajabu,kama uwezi kucomment kaa kimya sio matusi,vijitabia vyenu vya facebook hatuvitaki humu ndani.........!ok,wadau tuendelee na mjadala wetu huyu sijui ndo obama anataka kutuvuruga humu
 
thibitisha ni kazi gani
hapa duniani zaidi ya ualimu unayomfaa mtu mwenye masters, unajua
kirefu cha CPA(T) we mbwiga? unafikiri ingekuwa global ilo (T) ni la
kazi gani? una akili ndogo kama jk dogo.

Kumbe JK ana akili ndogo, ndio maana muda wote anacheka cheka tu... asante kwa kunijuza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…