Nasema
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 556
- 344
Acha kudanganya wenzio wewe. Kama wewe umeshindwa kupata CPA, usidhani ndio wote watashindwa.
CPA utazeeka au kufa kabla haujaipata na mwisho utakosa vyote,fanya masters kwanza ndio uje ubahatishe CPA