Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hizi HISA Mo amenunua lini na kwa bei gani? 🤣🤣Simba ina hisa 51 na MO 49,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi HISA Mo amenunua lini na kwa bei gani? 🤣🤣Simba ina hisa 51 na MO 49,
Mkuu tuambie nani analipa Salaries?Simba imetoa nn had leo, MO hatoi hela, hujaeleza nani analipa salaries wachezaji and other remunerations.
Kwa kauli hii sasa wewe na CPA nani ana akili timamu? 😁😅😂😂we Ina Akili wewe, unaweza kusajili wewe zaidi ya kunuka mdomo tu.
Ungetuwekea nakala pia hapa mkuu😎Nitaandika Barua kesho kuiomba NBAAA kuchunguza uliwezaje kutunukiwa CPA Makati uwezo mdogo
Kwahiyo bora angemaliza na suffix 😀😀tuanzie hapa 👇🏾
huu usengerema kuanza na prefix ya cpa mmejifunza wapi? prefix ni dr. na eng. tu