HIvi Unafikiri ile mechi ya cape Verde ilikuwa nyepesi kwa Argentina?Ronaldo kashakua Babu tayari asee ni sawa na yule kipa wa Cabe Verde aliekua anapewa misifa halafu Argentina leo wanaenda kumkanda Misri leo naziona goli nyingi sana
yaani mpaka unafurahia game,Unlike wachezaji wa Argentina ambao wanamtreat messi kama baba yao.
Unlike wachezaji wa Argentina ambao wanamtreat messi kama baba yao.
Nilishasema kabla ureno hawezi mfunga SpainI was dissappointed kabisa, jamma dominance walikuwa nayo, na focus muds wa mwisho kabisa ikawatoka
Sijui nini kiko implanted kwa wanaocheza na ronaldo he gets the most hate dispite yote alofanyayaani mpaka unafurahia game,
yaani vijana wanapambana kuutafuta mpira kwa lengo tu la kumpatia Messi tu hata kama yuko katikati ya uwanja.
Wachezaji wa Argentina wana imani, mapenzi ya dhati, uaminifu na heshima kubwa sana kwa Messi ambae wanaona kabisa analibeba taifa lao kisoka.
wana ubinafsi 0% kwenye suala la kupambania taifa lao 🐒
Don't fight against gravityMikimbio bado inaruhusu mbona, ni vile tu wale jamaa wabinafsi
Mbona mendez jana kauuwezea tu?Nilishasema kabla ureno hawezi mfunga Spain
Tena jana kajitahidi kala 1 ilikuwa ale 2
Lamine yamal alitakiwa akabwe na beki mwenye roho mbaya kama wakina pepe enzi hizo yule dogo muoga kuchezewa kiatu
Ova
Gentleman sijakuona kwenye banda langu saba saba, au nawe umeogopa vijana waandamaji na askari polisi ?yaani mpaka unafurahia game,
yaani vijana wanapambana kuutafuta mpira kwa lengo tu la kumpatia Messi tu hata kama yuko katikati ya uwanja.
Wachezaji wa Argentina wana imani, mapenzi ya dhati, uaminifu na heshima kubwa sana kwa Messi ambae wanaona kabisa analibeba taifa lao kisoka.
wana ubinafsi 0% kwenye suala la kupambania taifa lao 🐒
factWalishindwa kwasababu Spain ni bora kuliko Portugal kiuchezaji..
siwezi kukosa gentleman, just relax 🐒Gentleman sijakuona kwenye banda langu saba saba, au nawe umeogopa vijana waandamaji na askari polisi ?
yesAre you sure?
Wanakaona kama Mungu wanakasujudukia 😂