DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Si unaona sasa kwa hiyo Messi mapafu ya mbwa au? 😂
Hujajibu swaliAt 41 unakuwa you have nothing to offer .
Ndo maana umeona Jana hakuna alichoisaidia timu yake
Mnapenda kuwa box watu ila mnajua capability yakeMessi anatumia sana akili ya asili ndo kinachombeba every move is calculated.
Ronaldo ana kipaji ila amekuwa consistency kwa sababu ya kubeba vyuma na mazoezi makali
Sasa nguvu Huwa zina mwisho
Jana kama ulimuona wakati wa hydration amepewa mpaka kiti
Yule anabidi acheze dk 20 na acheze kipindi timu imeshafunga na sio kuanza uwanjani
Leo colombia na SwitzerlandWachezaji wote walipaswa wajitume for him,
Messi anauwezo wa kuibebaHivyo ni jinsi Messi anavyo kandwa leo
Beki ili umkabe mchezaji kama lamine yamal inatakiwa uwe katili,piga butiMnapenda kuwa box watu ila mnajua capability yake
Kwa hy Spain kwa Belgium njia nyeupeMbona mendez jana alimdhibitu
Tumekubali Ronaldo ni 🐐, lakini Messi ni GOAT.We jamaa unacho kitafuta nn?
View attachment 3624296
Mbuzzz🤸🏽♀️
Unataka kuniharibia siku makusudi sio😂View attachment 3624296
Mbuzzz🤸🏽♀️
Huu mtindio wa ubongo huu, kwa hiyo Ronaldo anatumia akili mnemba siyo!!?Messi anatumia sana akili ya asili ndo kinachombeba every move is calculated.
Ronaldo ana kipaji ila amekuwa consistency kwa sababu ya kubeba vyuma na mazoezi makali
Sasa nguvu Huwa zina mwisho
Jana kama ulimuona wakati wa hydration amepewa mpaka kiti
Yule anabidi acheze dk 20 na acheze kipindi timu imeshafunga na sio kuanza uwanjani