ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
kama sterling siyo? mwanzoni anapigwa halafu anakumbuka mafunzo na kuanza kushusha kipigo kwa kubwa la majamba🙄Ww ronaldo ndio anavyoanzaga acha kusahau
Sio kweli. Ungensema andunje ningekuelewa. Nami kwa kweli nimesikitishwa na performance yake ya leo. Hasa lile la mwisho alilokosa na kipa live. DahWw ronaldo ndio anavyoanzaga acha kusahau
kawa MESSI hadi useme anavyoanzagaWw ronaldo ndio anavyoanzaga acha kusahau
inatokea nini weweinatokea tuu hiyo kwa wachezaji Ronaldo huyu mnamzungumzia kwa mechi tano wakati juzi tuu ana ndoo la ulaya na Uefa mpira sio kama unavyodhania Aguero alikosa penalt muhimu Argentina ikafungwa nyumbani goli moja akaja Epl Man city na Toten akakosa penalt ya kusawazisha utasema Aguero ndio basi tena?
Mbona povu jingi mafanikio ya Cr 7 wewe unaumia ili iweje sasa Roho za kibongo Full kutu..inatokea nini wewe
Yule mmoroco kashaisha na uzee unammaliza vibaya hata tuzo ya UEFA hakustail
Angestaafu kama Zidane tu, unastaafu ukiwa juu bado, sasa hivi CR umri na fatigue vitamuanda!Kwa mlioangalia game ilioisha sasa hivi la liga mtakuwa mmepigwa na butwaa kumuona C Ronaldo akikosa magoli Mengi mno Leo yakiwamo matatu aliobaki yeye, kipa na goli,hivi ni nini kinachoendelea kumuandama gwiji huyu?
Ikumbukwe mpak sasa katika ligi ana goli 2 tu,mchezo wao Wa uefa walikutana na kibonde wakashinda nadhani 5-0 lakini Cr7 hakutikisa nyavu pia Siku hiyo,Ku Nani?
Hata mtangazaji ameonyeshwa kushangazwa na matokeo ya Leo upande Wa Cr7 na mwisho Wa mchezo tumeona Marcelo akiongea na mtu Wa Tv nae ameulizwa nini tatizo C Ronaldo kwa sasa kajibu ni hali ya mchezo tu.Real wameshinda kwa taabu 2-1 magoli ya Benzema na la majeruhi la Morata.
We ulirudhishwa na perfomance yake katika kombe ka ulaya??inatokea tuu hiyo kwa wachezaji Ronaldo huyu mnamzungumzia kwa mechi tano wakati juzi tuu ana ndoo la ulaya na Uefa mpira sio kama unavyodhania Aguero alikosa penalt muhimu Argentina ikafungwa nyumbani goli moja akaja Epl Man city na Toten akakosa penalt ya kusawazisha utasema Aguero ndio basi tena?
Mafanikio yapi hadi niumie [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] au ya kwenda MoroccoMbona povu jingi mafanikio ya Cr 7 wewe unaumia ili iweje sasa Roho za kibongo Full kutu..
Xx si utaona mwisho wa siku ronaldo anabeba ndo ilo mess lenu sijui jumba la maonyesho anabaki kuduwa#utani usipanik brokawa MESSI hadi useme anavyoanzaga
Kubeba nini mkuu?Xx si utaona mwisho wa siku ronaldo anabeba ndo ilo mess lenu sijui jumba la maonyesho anabaki kuduwa#utani usipanik bro
Ndoo aka makumbe makubwa ya kibabeKubeba nini mkuu?
Hatujasema Real hawatabeba ndoo mkuu, tunasema cr7 anaisha! Hata ureno walichukua EURO lakini perfomance ya cr7 ilikuwa ya kawaida sana. Tukubaliane graph yake inashukaNdoo aka makumbe makubwa ya kibabe