Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa mlioangalia game iliyoisha sasa hivi la liga mtakuwa mmepigwa na butwaa kumuona C Ronaldo akikosa magoli Mengi mno Leo yakiwamo matatu aliobaki yeye, kipa na goli,hivi ni nini kinachoendelea kumuandama gwiji huyu?

Ikumbukwe mpak sasa katika ligi ana goli 2 tu,mchezo wao Wa uefa walikutana na kibonde wakashinda nadhani 5-0 lakini Cr7 hakutikisa nyavu pia Siku hiyo,Ku Nani?

Hata mtangazaji ameonyeshwa kushangazwa na matokeo ya Leo upande Wa Cr7 na mwisho Wa mchezo tumeona Marcelo akiongea na mtu Wa Tv nae ameulizwa nini tatizo C Ronaldo kwa sasa kajibu ni hali ya mchezo tu.Real wameshinda kwa taabu 2-1 magoli ya Benzema na la majeruhi la Morata.
 
inatokea tuu hiyo kwa wachezaji Ronaldo huyu mnamzungumzia kwa mechi tano wakati juzi tuu ana ndoo la ulaya na Uefa mpira sio kama unavyodhania Aguero alikosa penalt muhimu Argentina ikafungwa nyumbani goli moja akaja Epl Man city na Toten akakosa penalt ya kusawazisha utasema Aguero ndio basi tena?
 
inatokea nini wewe

Yule mmoroco kashaisha na uzee unammaliza vibaya hata tuzo ya UEFA hakustail
 
Kwa mlioangalia game ilioisha sasa hivi la liga mtakuwa mmepigwa na butwaa kumuona C Ronaldo akikosa magoli Mengi mno Leo yakiwamo matatu aliobaki yeye, kipa na goli,hivi ni nini kinachoendelea kumuandama gwiji huyu?
Ikumbukwe mpak sasa katika ligi ana goli 2 tu,mchezo wao Wa uefa walikutana na kibonde wakashinda nadhani 5-0 lakini Cr7 hakutikisa nyavu pia Siku hiyo,Ku Nani?
Hata mtangazaji ameonyeshwa kushangazwa na matokeo ya Leo upande Wa Cr7 na mwisho Wa mchezo tumeona Marcelo akiongea na mtu Wa Tv nae ameulizwa nini tatizo C Ronaldo kwa sasa kajibu ni hali ya mchezo tu.Real wameshinda kwa taabu 2-1 magoli ya Benzema na la majeruhi la Morata.
Angestaafu kama Zidane tu, unastaafu ukiwa juu bado, sasa hivi CR umri na fatigue vitamuanda!
 
inatokea tuu hiyo kwa wachezaji Ronaldo huyu mnamzungumzia kwa mechi tano wakati juzi tuu ana ndoo la ulaya na Uefa mpira sio kama unavyodhania Aguero alikosa penalt muhimu Argentina ikafungwa nyumbani goli moja akaja Epl Man city na Toten akakosa penalt ya kusawazisha utasema Aguero ndio basi tena?
We ulirudhishwa na perfomance yake katika kombe ka ulaya??
 
Zama zake zinaishilizia, umri umemtupa mkono na pia ametumika sana uwanjani, anacheza kwa uoga maana injury ya uzeeni inakuwa na long recovery.
All in all huu msimu kauanza vibaya
 
Hawa wachezaji tuwape muda, angalau amalize nusu ya msimu ndo tuanze kuwakatia tamaa. Messi pia aliwahi kuwa hivyo...Diego Forlan naye game ikamkataa kabisaa pale Man U...ila alipotoka pale akafanya vizuri na hasa timu ya taifa.

Suala la umri...pia inaweza kuwa sababu ya downfall yake pia....yaani kama Rooney.

Pengine majukumu pia yameshaanza kuuchosha mwili....hapa tumkumbuke Michael Essien, Austin J. J Okocha, Michael Owen n.k
 
Back
Top Bottom