Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Kama kura za ma team ndo kila kitu, mpigieni wema kura nyingi, mana mwenye kura nyingi anapata award ya MIMBA. nyie team wema, mpigieni kura apate mimba

Haaaa haaaa apate mimba bila kumwagiwa sperm???? Hataree sana.
 
+Yaani bora kama mmeamua kupiga kura kwa wanaija ili Diamond asishinde mngepiga kimya kimya kuliko kujitangaza hadi nyuzi mnaanzisha mnajiweka kwenye risk sana endapo akishinda sijui mtaweka wapi sura zenu!

united africa ndio mpango mzima na sio umimi
mbona simba yanga zinashangiliaga wageni? nyie mmegeuza kiba mondi kama mchuano wa simba yanga mlitegemea nini???

akishinda tunageuka kumpongeza ndio ubinadamu ulivyo lazma umpongeze mshindi
 
Hii Thread inatufunua mioyo yetu wabongo tulivyo na miroho mbaya kwanzia ngazi ya familia mpka ngazi ya taifa. MUngu huko aliko anatushangaa.
ntampigia na nimeshampigia davido kwa kuwa diamond hana shukrani
nimepotezza muda kumpigia KTMA akapata tuzo mbili ila mpaka sasa hajatoa shukrani kwa tuliompigia kura.HATA KAMA KIBA KAMZIDI ALITAKIWA ATOE SHUKRAN KWA TULIOMWEZESHA JAPO AKAPATA MBILI
 
Hahahahaaa, kwani unadhani mimi nakwepesha?
Aisee kweli hukwepeshi wewe yaani umelenga penyewee ha haa haa
Niongee kwa mafumbo ili iweje sasa? Nimekupa vyako tu usidhani kuna anayeogopa hapa.
haaa amenipa tena me stakiii, halafu nani kasema unaniogopa😱 unajistukia au unaniogopa kweli?
Labda angekuwepo Kiba ndio ningekua na pressure kwelikweli, ila hao wengine wakafie mbali tu
Kina nani wakafe mkuu kumbe we muaji ha haa haaa 😀😀😀
 
Mkuu mi tayari nshapiga kura mara 20 kwa davido n wkzd na Vee money, hakuna kulala iwe jua au mvua.

we mkimbizi kama umepiga kura pigs kumya, baba yako hakuwa na gari ukaanza kumsifua jirani mwente gari ili upate lifti
 
akishindwa wewe unapata nini?
NAPATA furaha ya moyo.
mondi mpuuzi nimempigia kura ktma mpaka sasa hajatoa shukrani kwa mashabiki wake kumwezesha kupata zile tuzo mbili kama sio dharau ni nini hiyo?
ntavote davido,wizkid na vanessa
 
Jamani tutapiga sie tunaomkumbali nyie acheniii,,,na siku ikitokea upande wenu aly k anawania tuzo za Africa mtapiga nyieee Tu na sie tutawapigia wengine,ni hayo tu

Hahahaaa humu kuna mitusi lol!
 

Sijui hata kama umemwelewa au ndo mambo ya lugha gongana hahahahah acha chuki

Kila siku unaimbia MUNGU ibariki Tanzania halafu hapa unaandika ushuzi tu.

Hivi unajua nini maana ya uzalendo.?
 
hahahaha haya maisha bhana yanaenda kasi sana uzuri dunia ndo hii hii kesho na kesho kutwa Ali kiba nae atapata nomination nje ya nchi then the past will eat the future
 
united africa ndio mpango mzima na sio umimi
mbona simba yanga zinashangiliaga wageni? nyie mmegeuza kiba mondi kama mchuano wa simba yanga mlitegemea nini???

akishinda tunageuka kumpongeza ndio ubinadamu ulivyo lazma umpongeze mshindi

United Africa ipi unayoizungumzia hapa aisee, kwani hapa tunapambana na ulaya?
 

Mi nadhani kabla ya kum judge tungejua why mleta mada anasema yote haya!! Nadhan hapo ungekua umetumia busara zaidi!!
 
Watanzania mna muda wa kijinga sana.. Yani kabisa unapoteza bundle na muda wako kupiga kura eti umkomoe Diamond teh teh teh

Na ukichunguza vizuri wengi ni watu wasiojielewa Akili zao ziko "too local" they have no foresight.

Na mbaya zaidi kuna wanaume wanasopti huu ujinga .Yaani unajenga chuki na mwanaume mwenzio hahahahahaah .

Haya kweli majanga(in snura tone)
 
Wagawa uchi kqa kupenda kupewa shukrani mfyuuuuuu...kumbe ulikua unampigia diamond ili akupe shukurani.ndo matatizo ushazoea kuvuliwa chupi na kupewa shukurani
 
NAPATA furaha ya moyo.
mondi mpuuzi nimempigia kura ktma mpaka sasa hajatoa shukrani kwa mashabiki wake kumwezesha kupata zile tuzo mbili kama sio dharau ni nini hiyo?
ntavote davido,wizkid na vanessa

afu inakuaje? davido na wizkid watakushukuru? mangapi umefanyiwa hpa duniani na hujashukuru? usilipize ubaya kwa ubaya.
 
United Africa ipi unayoizungumzia hapa aisee, kwani hapa tunapambana na ulaya?
nyerere 1995 alimpigia kampeni jamaa wa nccr na akawa mbunge wa jimbo lake...hii ni baada ya nyerere kumkataa mgombea wa ccm.Nyerere hakuwa mzalendo kwa ccm? UMIMI, ukabila,usisi, uwao alikataza Nyerere, ubara, upemba,uunguja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…