Kama kura za ma team ndo kila kitu, mpigieni wema kura nyingi, mana mwenye kura nyingi anapata award ya MIMBA. nyie team wema, mpigieni kura apate mimba
Haaaa haaaa apate mimba bila kumwagiwa sperm???? Hataree sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kura za ma team ndo kila kitu, mpigieni wema kura nyingi, mana mwenye kura nyingi anapata award ya MIMBA. nyie team wema, mpigieni kura apate mimba
+Yaani bora kama mmeamua kupiga kura kwa wanaija ili Diamond asishinde mngepiga kimya kimya kuliko kujitangaza hadi nyuzi mnaanzisha mnajiweka kwenye risk sana endapo akishinda sijui mtaweka wapi sura zenu!
Haaaa haaaa apate mimba bila kumwagiwa sperm???? Hataree sana.
ntampigia na nimeshampigia davido kwa kuwa diamond hana shukraniHii Thread inatufunua mioyo yetu wabongo tulivyo na miroho mbaya kwanzia ngazi ya familia mpka ngazi ya taifa. MUngu huko aliko anatushangaa.
Haina haja ya kumpigia kura ashike mimba. Muda ukifika atafanya kama zari wa ndomo ataenda kwa Katunzi akatiwe mimba.
Aisee kweli hukwepeshi wewe yaani umelenga penyewee ha haa haaHahahahaaa, kwani unadhani mimi nakwepesha?
haaa amenipa tena me stakiii, halafu nani kasema unaniogopa😱 unajistukia au unaniogopa kweli?Niongee kwa mafumbo ili iweje sasa? Nimekupa vyako tu usidhani kuna anayeogopa hapa.
Kina nani wakafe mkuu kumbe we muaji ha haa haaa 😀😀😀Labda angekuwepo Kiba ndio ningekua na pressure kwelikweli, ila hao wengine wakafie mbali tu
Mkuu huyu anakutaka aisee c mara ya kwanza hii kwako. Ila suti km ya kiba hapo umetisha. Imemtamanisha
Mkuu mi tayari nshapiga kura mara 20 kwa davido n wkzd na Vee money, hakuna kulala iwe jua au mvua.
NAPATA furaha ya moyo.akishindwa wewe unapata nini?
Jamani tutapiga sie tunaomkumbali nyie acheniii,,,na siku ikitokea upande wenu aly k anawania tuzo za Africa mtapiga nyieee Tu na sie tutawapigia wengine,ni hayo tu
waweke evidence hapa tuwasapoti. sio kuleta bifu za mtaani hapa.
Mbona hukulalamika south africa walipompigia kura Idris BBA na kumuachs mshiriki wao. Au hukuona even baadhi ya stars walikuwa wanashawishi watu wapigie kura Tanzania BBA ilihali kuna washiriki wao kule. Sio dhana potofu kumpigia kura davido wakati diamond pia anashiriki.
Mshauri bosi wako ajiangalie upya na atafute sababu za kuchukiwa hivi na baadhi ya watanzania. I SAY VOTE FOR DAVIDO AND VEE MONEY.
waweke evidence hapa tuwasapoti. sio kuleta bifu za mtaani hapa.
united africa ndio mpango mzima na sio umimi
mbona simba yanga zinashangiliaga wageni? nyie mmegeuza kiba mondi kama mchuano wa simba yanga mlitegemea nini???
akishinda tunageuka kumpongeza ndio ubinadamu ulivyo lazma umpongeze mshindi
Albert Einstein alituambia " The great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds"
Na Socrates alituambia " From the deepest desires often come the deadliest hate"
Mleta mada na wanaokusapoti kauli hizi ziinawahusu hahahhah
Nahisi mleta mada kama sio mshirikina,mchawi au basi mganga wa kienyeji
Watanzania mna muda wa kijinga sana.. Yani kabisa unapoteza bundle na muda wako kupiga kura eti umkomoe Diamond teh teh teh
NAPATA furaha ya moyo.
mondi mpuuzi nimempigia kura ktma mpaka sasa hajatoa shukrani kwa mashabiki wake kumwezesha kupata zile tuzo mbili kama sio dharau ni nini hiyo?
ntavote davido,wizkid na vanessa
nyerere 1995 alimpigia kampeni jamaa wa nccr na akawa mbunge wa jimbo lake...hii ni baada ya nyerere kumkataa mgombea wa ccm.Nyerere hakuwa mzalendo kwa ccm? UMIMI, ukabila,usisi, uwao alikataza Nyerere, ubara, upemba,uungujaUnited Africa ipi unayoizungumzia hapa aisee, kwani hapa tunapambana na ulaya?