BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Tanzania hapa tulipo fikia hadi shetani anaona aibu!!
kwamba humjui au unansumbua bure???paul ndobho akigombea kwa nccr alipigiwa kampeni na mwalimu+Leo utabwayabwaya sana hadi siasani, haya tuambie ni mbunge gani aliyepigiwa kampeni?
+aya hata kama alipigiwa kwa hiyo wewe unaonyesha huo umoja kwa kuwapigia wanaija wao wanakujua? Km huo umoja wako unaousemea unatakiwa uanzie kwanza nyumbani.
We need prayers 4 real" hii si akili yetuNdo maana watanzania hatuendelei ni wivu, roho mbaya, husda, unafki etc God have mercy!
napata furaha ya moyo, kwan yanga waliposhanglia simba ilipocheza na LIBOLO walipata faida gani zaidi ya furaha ya moyo???Ndo mana hatuendelei hiv. We diamond akikosa tuzo huko nje unaona kama umemkomoa sana. Then unafaidika nn. Tusiwe na chuki kiasi hiki ni mTanzania mwenzetu anayetuwakilisha nje.. em tuwe na busara kdogo
Mi kwa hawa mademu sina shida nao, ni tabia zao.
Ila watoto wa kiume, duuh. Most of them ni watu wenye maisha ya kuunga unga tu.. Walishadanganywa ukitoka University basi maisha mteremko..
Wamerudi mtaani, kwanza wakapigwa na blow out ya kutembea na bahasha mwaka mzima, unakuja kupata kazi, ni stress tupu, mshahara hautoshi, magumashi mjini nayo hayaendi.
Wanapokuja kumwona kijana aliyedrop out, sijui alifeli form four amewapiga gap, lazima mapovu yawatoke.. Ukiwauliza ni kwanini wanamchokia dogo, majibu hawana. Honestly huyu jamaa anaweza kutumika kama Inspirational kwa watoto wa Uswazi kwamba wakisimama kwa chochote, ukawa mbunifu na ukajituma U gonna make it.. The only thing I adore this kid ni hiyo, his personal life is his.
hahahaha haya maisha bhana yanaenda kasi sana uzuri dunia ndo hii hii kesho na kesho kutwa Ali kiba nae atapata nomination nje ya nchi then the past will eat the future
kwamba humjui au unansumbua bure???paul ndobho akigombea kwa nccr alipigiwa kampeni na mwalimu
sio lazma kumpigia diamond much as anadharau
Ila nimeelewa kwa nini wanawake wengi ndio wanakuwaga wachawi, wanawake wana chuki kali sana. Tena chuki inaweza isiwe ata na sababu ya maana ila mtu akakulisha sumu.
Mi nadhani kabla ya kum judge tungejua why mleta mada anasema yote haya!! Nadhan hapo ungekua umetumia busara zaidi!!
Mi kwa hawa mademu sina shida nao, ni tabia zao.
Ila watoto wa kiume, duuh. Most of them ni watu wenye maisha ya kuunga unga tu.. Walishadanganywa ukitoka University basi maisha mteremko..
Wamerudi mtaani, kwanza wakapigwa na blow out ya kutembea na bahasha mwaka mzima, unakuja kupata kazi, ni stress tupu, mshahara hautoshi, magumashi mjini nayo hayaendi.
Wanapokuja kumwona kijana aliyedrop out, sijui alifeli form four amewapiga gap, lazima mapovu yawatoke.. Ukiwauliza ni kwanini wanamchokia dogo, majibu hawana. Honestly huyu jamaa anaweza kutumika kama Inspirational kwa watoto wa Uswazi kwamba wakisimama kwa chochote, ukawa mbunifu na ukajituma U gonna make it.. The only thing I adore this kid ni hiyo, his personal life is his.
napata furaha ya moyo, kwan yanga waliposhanglia simba ilipocheza na LIBOLO walipata faida gani zaidi ya furaha ya moyo???
furaha hununuliwa
Well said mkuu jamaa ni inspirational icon.Sababu hata Mimi nimempita kielimu but ananiinspire kwa tabia ya kupenda kuthubutu kujaribu bila woga na kufanya kazi kwa bidii bila kubweteka na misifa ya kijinga
Ni wajinga tu wenye uwezo finyu wa kufikiri wanamdharau huyu kijana.
All in all jamaa anajua sana.
Sio wachawi tu mkuu pia wanawake wengi wanamapepo haha. Hata kanisani ndio wanaongozaga kuanguka mapepo. Roho mbaya Chuku umbea Wivu umewajaaa. Na mwanamme ukiwa hiv basi unahatari u hv 2be clld Catlyn Jenner