Yeah, because he has to marry to please you. Let him live his life. What a stupid excuse.
Diamond hajawahi kutoa wimbo wowote, hivo waweza mpigia kura best nassor kwa uzalendo zaidi....
kwa kweli diamond hana wimbo wa maana...hovyo kabisa ukilinganisha na anaoshindana nao...bora niwapigie watu wa mchiriku
Msisahau kupigis kura na Baba zenu na waume zenu pia mkimaliza kuwapigia kina Davido sawa
Another day! kumekucha jf
Hivi nyie kazi mnafanya muda gani?
Ni ukosefu wa akili kabisa eti mnamchukia MTU kisa alimuacha x wake kwel hiz ni akili au matope?uyo wema au jokate ni nan?na wana nini?mbona wanaume wengine waliwaacha pia..na ni aibu kuona msomi au MTU anaejielewa anakosa uwezo wa kujitegemea na kushikuriwa mawazo et na wema sepetu.hii ni dalili tosha hata familia zenu mtashindwa kuongoza kwa kukosa mawazo ya kujitegemea aaaah
Sina team ila kwa point hii huu ukosefu wa kufikuria vizuri maana huwezi sema MTU asipigiwe kura kisa kawaita x zake makombo na wao je walimuita nan?alaf mambo ya mahusiano bwana waachie wenyewe alaf siyo kila uhusiano Lazima uishie kwenye ndoa. we umeacha au umeacha wangap? Uyo mganda ndo chagua lake utamlazimisha amuoe wema au jokate kama mioyo haijaendana?
safi sana kwa kumsapoti davido
Mimi binafsi nimejiajiri nalala na ninaamka muda ninaoutaka. Kuna mapimbi wananiita bosi na hivi ninavyoandika hapa wapo kazini wanahangaika nipate hela kibubu kijae. Sijui wewe mwenzangu hivi kazi unafanya muda gani?
Mtani...leo unaongea busara ila kuna mmoja wenu alisema Daimond haitaji kura zetu....
Yani nimefurahi kaliona hilo.
Davido aliyeitukana nchi nzima ya Tz au mwingine???
ich mochte vote fur davido na sio mond domo dharau