Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Yeah, because he has to marry to please you. Let him live his life. What a stupid excuse.

Sina team ila kwa point hii huu ukosefu wa kufikuria vizuri maana huwezi sema MTU asipigiwe kura kisa kawaita x zake makombo na wao je walimuita nan?alaf mambo ya mahusiano bwana waachie wenyewe alaf siyo kila uhusiano Lazima uishie kwenye ndoa. we umeacha au umeacha wangap? Uyo mganda ndo chagua lake utamlazimisha amuoe wema au jokate kama mioyo haijaendana?
 
Nyani Ngabu Acha nidhamu za uoga we kama matusi tupia humuhumu, huna tofauti na mtoto wa kike usiku saa kumi unaniwaza mashaallah ulikuwa unataka koni nini?

1.jpg
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli diamond hana wimbo wa maana...hovyo kabisa ukilinganisha na anaoshindana nao...bora niwapigie watu wa mchiriku
 
Hivi nyie kazi mnafanya muda gani?

Mimi binafsi nimejiajiri nalala na ninaamka muda ninaoutaka. Kuna mapimbi wananiita bosi na hivi ninavyoandika hapa wapo kazini wanahangaika nipate hela kibubu kijae. Sijui wewe mwenzangu hivi kazi unafanya muda gani?
 
Ni ukosefu wa akili kabisa eti mnamchukia MTU kisa alimuacha x wake kwel hiz ni akili au matope?uyo wema au jokate ni nan?na wana nini?mbona wanaume wengine waliwaacha pia..na ni aibu kuona msomi au MTU anaejielewa anakosa uwezo wa kujitegemea na kushikuriwa mawazo et na wema sepetu.hii ni dalili tosha hata familia zenu mtashindwa kuongoza kwa kukosa mawazo ya kujitegemea aaaah
 
renjeta la bedford la nini wakati sasa kuna smart cars
 
Last edited by a moderator:
Sina team ila kwa point hii huu ukosefu wa kufikuria vizuri maana huwezi sema MTU asipigiwe kura kisa kawaita x zake makombo na wao je walimuita nan?alaf mambo ya mahusiano bwana waachie wenyewe alaf siyo kila uhusiano Lazima uishie kwenye ndoa. we umeacha au umeacha wangap? Uyo mganda ndo chagua lake utamlazimisha amuoe wema au jokate kama mioyo haijaendana?

kanywe supu ya miguu na vichwa vya kuku kiroba kitoke kichwani
 
Mimi binafsi nimejiajiri nalala na ninaamka muda ninaoutaka. Kuna mapimbi wananiita bosi na hivi ninavyoandika hapa wapo kazini wanahangaika nipate hela kibubu kijae. Sijui wewe mwenzangu hivi kazi unafanya muda gani?

Kweli wewe bado ni mtoto,lugha yako inaonesha bado hujakua.
Mimi nimeajiriwa na nimeajiri vijana kama watatu ila siwezi kuwaita wale ni mapimbi na hakuna bosi anayewaita wafanyakazi wake mapimbi.
Watu kama nyinyi ndio mnaidhalilisha sana jf,binafsi kuna watu wananidharau sana nikiwaambia napendelea kutembelea jf wananiambia jf ilikuwa zamani now kuna wajinga kibao
 
Mtani...leo unaongea busara ila kuna mmoja wenu alisema Daimond haitaji kura zetu....
Yani nimefurahi kaliona hilo.

Mtu mmoja asikufanye ukachange mind Ms.Lincoln ingekua kasema Diamond mwenyewe sawa. Japo diamond ana fanBase kubwa sana bt anahitaji kura zetu sana waTz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom