Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

davido aliwatukana watanzania jamanii ,hebu nipigieni na Mie kura lo,aiseeeee mmekomaa jamaniii

Davido hakuwahi Tukana mtanzania zaidi ya kusema they have cheated again kitu ambacho kiushindani lazima mtu angesema. Mbona nyie kiba amefunika mnalala ila kutwa?? Hadi zari ametoka povu IG
 
Wewe kama ni wa KIKE hapo ulipo umeachana na jamaa yako aliyekuwa akiku... baada ya kumpata mwingine wewe akakuita MAKOMBO utajisikiaje? na isitoshe akatoa piicha yakuwaonyesha wote aliowa..... je kitendo hicho ni cha busara?
Usitake kutafuta mchawi Diamond kajiroga mwenyewe akishirikiana na nyie washabiki wake ambao badala ya kumrekebisha mnamuacha aendelee na ujinga anaoufanya..
- NYOTA ILIYOMNG'ARISHA DIAMOND NI WEMA
- ZARI NI GUNDU KWA DIAMOND
Cha muhimu kabla ilitakiwa ajiulize kwa uzuri wote huo imekuwaje akaachwa na mume?
 
Davido hakuwahi Tukana mtanzania zaidi ya kusema they have cheated again kitu ambacho kiushindani lazima mtu angesema. Mbona nyie kiba amefunika mnalala ila kutwa?? Hadi zari ametoka povu IG


mrembo basi tusameheni jamaniii,halaf muhame nchi naenda kuwashitaki uhamiaji
 
nifah eti Marytina anafanya he?mara hii anaona huruma? Basi makubwa..ila mie kabla ya chai nikiwa kwa tu ni kuvote Hadi tuambiwe zimefungwa. [MENTION=243873] Dinazarde me niko Nigeria kwa utalii hadi mtv 2015 zipite
 
Last edited by a moderator:

tutasubiri ht karne..!!
 
hahah hah hah ich glauben nicht
yaan usitupimie.....hatutabiriki...kivuruge stlye

Sikuwahi hata siku moja kutegemea kuona chuki kiasi hiki ukizingatia huyo Diamond hata hajuani na wengi wa wanaomchukia humu na kwingineko.

Inatia aibu kwa kweli.
 
Mwenzangu Marytina ana balaa huyu? Si kasema kawaonea huruma anampigia domo?
yaan nshasema MUNGU akiniuliza anipe zawadi gani ila atampa mondi mara mbili yangu...
mfano:marytina niwe na diploma , mond apewe digrii
, niwe milionea mond awe bilionea
ntachagua kupofushwa jicho mmoja ili MOND apofushwe mawili....hahah hah

mond aliunga mkono katiba mpya na KAIMBA KIBWAGIZO KWAMBA TUIPIGIE KURA leo anaitwa mzalendoo ni upuuzi gani huu.....hii KATIBA SITTA itaififisha nchi kwa miaka 50 ijayo wakati mond akikosa TUZO vanessa atanyakuwa na kuiwakilisha nchi
 

Hahahahaaa uwiiii! Nimecheka hapo kwa kupofushwa macho balaa.
 
Davido hakuwahi Tukana mtanzania zaidi ya kusema they have cheated again kitu ambacho kiushindani lazima mtu angesema. Mbona nyie kiba amefunika mnalala ila kutwa?? Hadi zari ametoka povu IG

Alivyosema from 0-100 very quick alimaanisha nn? Baada ya kupost IG (they cheat) haijakaa mda akapost (0-100 very quick) kama unakumbuka vzr.
 
ili kumsaidia mond muadabishe kwa kumpigia kura davido
 
Upuuzi tu....eti team wema, team diamond etc. ...what for!? Hii nchi tulirogwa sio bure
 
Ni hivi mnatutesa Sana na mnatuumiza Sana kuacha kumpigia kura Mtanzania mwenzenu na kuwapigia kura wanaija,kisa na sababu zisizo za msingi sasa ni hivi pigieni hao wanaija,ila ikitokea siku Kiba nae akienda kushindania tuzo za Africa na wasanii wakubwa na sie tutalipa kuwapigia kura wengine tutamuachaaa Kina
Na ole wenu ,ole wenu tutawaona
Nasema tutalipa sie team Diamond
Yaoneni sura zenu mbayaaa mfyuuuuuuuuuuu ,

Jamani kwa wenye mapenzi mema na diamond tuendelee kumpigia kura najua baadhi ya team kiba wapo wanaompigia kura Daimond tuendelee kumpigia ashinde,Tanzania kwanza jamani mengine tuyaache
hatuihitaji matusi yametosha
mzurimie njoo na ile link watu waendelee kupiga kura,
Pigia kura Daimond,vanesa ,na sauti soul pia ,,pigien category zote msichoke jamanii.
MTVMAMA.Com
Nadhan nimeeleweka kadoda11 niitie hao wakenya kina NairobiWalker na wengine
Lingine tuacheni chuki haijengii
 

Attachments

  • wp_ss_20150614_0001.png
    198.9 KB · Views: 160
Last edited by a moderator:
nifah eti Marytina anafanya he?mara hii anaona huruma? Basi makubwa..ila mie kabla ya chai nikiwa kwa tu ni kuvote Hadi tuambiwe zimefungwa. Dinazarde me niko Nigeria kwa utalii hadi mtv 2015 zipite
namchukia mzalendo mnafiki mond kwa kibwagizo cha kuunga mkono katiba yaan haitatokea nimpigie kura ya mtv 2015
nifah kanielewa vibaya nlikuwa namzuga ----- wangu flani
 
Point ya msingi...wabongo bana juzi tuu walikuwa kwenye page ya davido kumtukan kuwa kaongea maneno machafu juu ya ushindi wa idris na daimond..leo hii wamesahau wanaenda kumsifia na kusem wanavote kwake...ndo maan hatuendelei coz vichwa vibovu bt wale wenye akil kubwa kama mim tuendelee kuvote kwa vee money na mnyama dangoteee....tutatusua tuu mdogomdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…