Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Kweli kuna watu na viatu. Kivipi mtu unakua na chuki kiasi hiki..
 
Sorry wrong. Nimepost bahati mbaya. Ukiitaka ipo Celebrities
 
Iwapo utampigia kura Davido ili eti kumkomoa Diamond wewe akili zako na mbuzi hazitofutiani sana. Nahisi mbuzi atakuwa amekuzidi kidogo sababu mbuzi pamoja na kuwa mjinga bado hawezi kufanya ambacho wewe unaenda kufanya:becky:. Mnasema eti haheshimu fans wake. Kuwaambia msiingilie maisha yake ndo kutowaheshimu? Wengi ni wanafiki mnataka aishi mnavyopenda nyie awe f-a-l-a f-a-l-a kila siku. Afanye mziki lakini asipate hela aendelee kubaki hapo hapo nafikiri ndo kitawapa raha zaidi. Unafiki na ushetani tu umewajaa.Hata kufikiria hamfikirii hii kampeni tunayofanya ina manufaa ganikwa maisha yenu binafsi. Ukiona mtu anafurahia kuanguka kwa mwingine jua hivyo ndo vi ajent vya shetani hapa duniani ndo anavitumia kuangusha wengine
 
Mziki hauna mwenywe
 

Attachments

  • 1434369875980.jpg
    73.3 KB · Views: 106
  • 1434369886923.jpg
    49.6 KB · Views: 99
Nasikiliza XXL hapa fetty kwa Mdomo wake amesema hakubali tuzo ya Kiba as mtumbizaji bora Ingemfaa Diamond. Tune on XXL
 
Sikuwahi hata siku moja kutegemea kuona chuki kiasi hiki ukizingatia huyo Diamond hata hajuani na wengi wa wanaomchukia humu na kwingineko.

Inatia aibu kwa kweli.

The same davido aliwatukana watanzania mwaka jana kuwa wana cheat, na walivyo mamburula wakaenda kumporomoshea matusi. Leo hii haohao wanaenda kumpigia kura.

Wabongo hatupendani, hatupendi tuone mtu anafika levels za juu. Wanataka mle nao vumbi na kuhenyeka kwenye daladala...

Kwa muktadha huu, sishangai kwanin wanawapiga vita wabeba boxi...
 

Vote for davido...wizkid....Vanessa....saut Sol... Eti uzalendo ?? Wakati mnamtukana wema over zari mganda ambaye kutwa kuwadharau hamkujua kuwa kuna uzalendo??? Kwa wanaija walivyo wengi jumlisha team kiba wema na jokate Akishinda domo nakaa uchi stand ya ubungo siku nzima...
 
Aisee kweli watanzania tuna roho za korosho! Dah.... Sijawahi ona kitu kama hiki tangu niwe na akili..!!
 
Hv na ile ya UDSM mlikuwa wapi hadi akachukua? Na alipochukua mlipungukiwa nn? Na ile ya achiever award mmeshapata wa kumpigia?
 


Hahahaaaaa....hakyanani duh!!!
 


safi sanaaa tupo pamoja tunaendelea kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…