Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Sina shida ya kufuga kuku napiga biznes za fasta hata nikiwa home hizo biznes fanya wewe

By the way nigeria davido ana haters kama wewe hater wa dai hapa Tz .Nawapo wengi .

Mbaya zaidi wana wasanii wengi kwenye hizo categories

So ni faida kwa dai coz hao watagawana kura

Nikupe mfano CCM na Upinzani kuelekea uchaguzi unadhani nini kitatokea kwenye kura(just mfano ukawa mnisamehe)

@#Haters gonna hate.
 
Hahahahah idris nomaaa

Hahaha Idris kaua. Naona IG wasanii na maStar kibao wanasapport watu wavote For Diamond&Vanessa hii inapendeza sana. Safari hii East Africa lazima tukimbize sio kila siku west and south
 
Avemaria mpenzi huyo ulingoni huko instagram hana jipya.Kwanza followers anao wachache na anavyopost ndio vilevile ambavyo wengine wanavifanya.
Hana jipya zaidi ya kumsema wema tu, nimeona hata taabu kujisumbua kuchukua screen shots.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Idris kaua. Naona IG wasanii na maStar kibao wanasapport watu wavote For Diamond&Vanessa hii inapendeza sana. Safari hii East Africa lazima tukimbize sio kila siku west and south

Hahahahhhahah ndo hapo wachawi wa huku wakipita insta kila msanii wanayem-follow anawapa thumb up dai na vannesa hahahaahaha

Watashindana lakini hawatashinda
 
Hahahahhhahah ndo hapo wachawi wa huku wakipita insts kila msanii wanayem-follow anawapa thumb up dai na vannesa hahahaahaha

Watashindana lakini hawatashinda

Hahaha naona hata Wema kama anataka apost vile lkn ndo vile kapost ya Vanessa tu. Cjui akipost ya dai c wanafiki watazidi kuumbuka tu japo hatuhitaj msaada wake kivile
 
Avemaria mpenzi huyo ulingoni huko instagram hana jipya.Kwanza followers anao wachache na anavyopost ndio vilevile ambavyo wengine wanavifanya.
Hana jipya zaidi ya kumsema wema tu, nimeona hata taabu kujisumbua kuchukua screen shots.

Hivi Wema kwa mfano akampost Diamond utajiskiaje. Mana kashapost ya vanessa nadhani sahv anajishauri shauri
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Idris kaua. Naona IG wasanii na maStar kibao wanasapport watu wavote For Diamond&Vanessa hii inapendeza sana. Safari hii East Africa lazima tukimbize sio kila siku west and south

hayaaa tuendeeleeeee kama dawaa vileeeee
 
Endelea kuota. Karudie somo LA hesabu ndugu. Hata kama kuna haters na kugawana kura still tz is nothing kwani wale ni mara NNE ya population yetu...got it?? Dai hachomoki hapa tumembana pande zoteeeeeesd
 
Hahaha naona hata Wema kama anataka apost vile lkn ndo vile kapost ya Vanessa tu. Cjui akipost ya dai c wanafiki watazidi kuumbuka tu japo hatuhitaj msaada wake kivile

Ndo hivyo wachawi ws humu wataumbuka soon malkia wao atakapo wasaliti

Na huko aliko si ajabu anapokea michambo kwa wenye heshima za mjini hapa so ata-salenda soon

Coz hii ishu ni state ishu inagusa maslahi mapana ya taifa katika tasnia ya Sanaa ya mziki.

Soon atasalenda na wachawi wataaibika tu .

Watashindana lakini hawatashinda
 
Hahaha Idris kaua. Naona IG wasanii na maStar kibao wanasapport watu wavote For Diamond&Vanessa hii inapendeza sana. Safari hii East Africa lazima tukimbize sio kila siku west and south

Wasanii wengine kwa ushabiki UPI has a?? Hapa hamchomoki hata kikwete akiingilia
 
Akimposti basi jua litachomozea magharibi na kuzama mashariki
 
Hivi Wema kwa mfano akampost Diamond utajiskiaje. Mana kashapost ya vanessa nadhani sahv anajishauri shauri

Wewe nae? Kwani wema ni nani? Mimi ni shabiki wa ukweli wa King Ali Kiba.
Halafu kura nimeamua kupiga kwa Wizkid na wengineo kwa hiyari yangu, hayo unayoniambia hayana impact yoyote kwangu.
Ampost, asimpost havinihusu maana siwezi kumpangia cha kufanya.
 
Kumbe ni hivi..basi Davido kabeba tuzo kiulaini..wapenda pan-africanism..tumpigie DAVIDO wajameni

Hahahahaaa, kumbe ndio maana nashangaa navote hadi mara 30 na kuendelea siambiwi kua nimefika mwisho?
Safi sana...basi Mr. Flavour atachukua best live...Hehehehehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…