Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Kwani ile MSUKULE inayotuwekea link za kupiga kura iko wapi jamani?
Maana jana na juzi ilikua raha balaa, ukijisikia tu kwenda kupiga kura link hiyoooo.
Sasa leo napata shida kidogo kuzipata!
Pls tuwekeeni wenzenu jamani mmeshatuzoesha!
 
Kuwa mzalendo na bara lakooo!
Vote !vote! vote!
Vote for Wizkidayo!
Vote for mr flavour!
Vote for sauti sol!
Vote for Vanessa Mdee!
 
Msanii mkubwa lazima uwe na Ratiba. BigUpDiamond
 

Attachments

  • 1434448960687.jpg
    1434448960687.jpg
    62.2 KB · Views: 73
Lakini kumbuka watz tuko milioni ngapi na Nigeria wako almost 4 times our population. Unadhani wanigeria wamelala?? Jumlisha kura za shabiki Wa kiba, wema, jokate, peni....na za wengine out of this cycle? Domo ni nani hata afurukute.....usipoteze kura yako....kafuge kuku wakati wa likizo ujiongezee kipato au chill umalize likizo yako salama

ushoga unakusumbua....**** wewe
 
Nawashauri mnaosikitika na kushangaa muache unafiki, haya ni maamuzi binafsi, mkasikitikie vitu vya msingi na vyenye mashiko.
Mxiiu zenuu...
 
Hi
Akimposti basi jua litachomozea magharibi na kuzama mashariki

Mwenzio bado anampenda dai basi tu nyie ushabiki maandazi unawasumbua.hahhahahhah

Hivi si alisema amempa likizo sasa .Si kila anayepewa likizo hurudi kazi so dai atakam baki atahit the "ishu" for biznesi matters then atatafuta pace tena kama barca na "tiktak" yao hahahahaha

Ndio hapo nyinyi mtalia na kusaga meno au meno kutoa jasho.Na kunyooosha white flag juu na kuweka silaha chini hahahahh.

Nachomkubali pia ni MTU wa starategies halafu ni fighter wa levo yake wachimbachumvi hawamzingui.

Anawapiga kwa knock out,rabonna,anawa nutmeg,anawatuliza gambani ,kabla ya kushoot anadunk kama MJ na kupiga 3 pointers kama Curry.hahahhah

Na mwisho mnabaki midomo wazi.


Mtashindana lakini hamtoshinda.
 
!
Kuwa mzalendo na bara lakooo!
Vote !vote! vote!
Vote for Wizkidayo!
Vote for mr flavour!
Vote for sauti sol!
Vote for Vanessa Mdee!

Kama kutokuampigia kura domo ndio niitwe sio mzalendo basi nasema mimi sio MTANZANIA!
Mimi ni muEthiopia jamaniiiii, khaaaa.
 
Nawashauri mnaosikitika na kushangaa muache unafiki, haya ni maamuzi binafsi, mkasikitikie vitu vya msingi na vyenye mashiko.
Mxiiu zenuu...

Eti jamani! Tungekua tumekataa kupiga kura October sawa, ila katika mambo kama haya hakuna haja ya kusikitika wala kulazimishana.
Haya ni maoni/maamuzi yetu...
YAHESHIMIWE.
 
Teh teh teh teh tumemiss kwenda kumpokea airpot
 

Attachments

  • Wema Sepetu Amliza Mama Kanumba.jpeg
    Wema Sepetu Amliza Mama Kanumba.jpeg
    14.7 KB · Views: 165
Back
Top Bottom