Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana ni kiboko yao tokeni mapovu Mpaka mjutreeeee mtajibeba
Kalalwe mbele
Mwana ni kiboko yao tokeni mapovu Mpaka mjutreeeee mtajibeba
Hahahahaaa uwiiii! Umepata wapi hii kitu jamani?
Nimechekaje sasa?
hayaaa tuendeeleeeee kama dawaa vileeeee
Hehe mwaka huu mdomo utaongezeka urefu hehe
Lakini kumbuka watz tuko milioni ngapi na Nigeria wako almost 4 times our population. Unadhani wanigeria wamelala?? Jumlisha kura za shabiki Wa kiba, wema, jokate, peni....na za wengine out of this cycle? Domo ni nani hata afurukute.....usipoteze kura yako....kafuge kuku wakati wa likizo ujiongezee kipato au chill umalize likizo yako salama
Akimposti basi jua litachomozea magharibi na kuzama mashariki
Kuwa mzalendo na bara lakooo!
Vote !vote! vote!
Vote for Wizkidayo!
Vote for mr flavour!
Vote for sauti sol!
Vote for Vanessa Mdee!
Hahahahaaa uwiiii! Umepata wapi hii kitu jamani?
Nimechekaje sasa?
Nawashauri mnaosikitika na kushangaa muache unafiki, haya ni maamuzi binafsi, mkasikitikie vitu vya msingi na vyenye mashiko.
Mxiiu zenuu...
Loool je mimi? Umenibagua eee hahahaaa
Wewe si umefunga pm yako? Au ulishafungua?