Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Chijafungua mpenziiii
Hahahaaaa nakosa mautraaaammmSasa je, unalilia karanga huku meno huna...heheheheee
Ngoja nikachukue kwenye nyuzi zao nikuwekee hapaNaomba link ya kumpigia bwana mdogo wizkid au davido maana me napenda mziki mzuri
Naomba link ya kumpigia bwana mdogo wizkid au davido maana me napenda mziki mzuri
Mwana ni kiboko yao tokeni mapovu Mpaka mjutreeeee mtajibeba
Hahahahaaa uwiiii! Naona ile misukule leo haiweki.
Ngoja cute b atuwekee.
Naomba link ya kumpigia bwana mdogo wizkid au davido maana me napenda mziki mzuri
πππππ chizi ww embu nenda kampigie kura diamond mtv
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Mie tenaa nimeenda kucopy ya busenbuner
MAMA 2015 - http://mama.mtv.com/voting/ mwendo wa malink tu kuvote tu..
Hahaaaaaaaa loh nitukane tusi jipya hilo shalizoea pyeeeeeeeeeeeπ±π±
Tusi langu Leo ilo hapo
Hebu niambie.......nampigia Davido na nani.......na napigaje.....?........nataka nipige leo leo.......
Hahaaaa hiiiiiiiiii huna jipya.
Koh koh koh
Kuch kuch
Tusi langu Leo ilo hapo
Na tuzo ya heshima napata miaka mia ππππ