Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Hata Millard Ayo anajielewa safi sana





Tujifunze kutoleta uchawi na personal interests kwenye STATE issues

Holaaaaaa!!!!!


Tz babbbbby!!!!!!
 

Attachments

  • 1434449915152.jpg
    1434449915152.jpg
    44.5 KB · Views: 78
Naomba link ya kumpigia bwana mdogo wizkid au davido maana me napenda mziki mzuri

Hahahahaaa uwiiii! Naona ile misukule leo haiweki.
Ngoja cute b atuwekee.
 
Last edited by a moderator:
Africa we are one...me simpigii mtu kula kisa tu mtanzania noo napiga kwa anaye jua.davido safari hii hatuchiti broo maana watanzania tunapenda sana kusifia vibovu
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

Hebu niambie.......nampigia Davido na nani.......na napigaje.....?........nataka nipige leo leo.......
 
Hebu niambie.......nampigia Davido na nani.......na napigaje.....?........nataka nipige leo leo.......







MAMA 2015 - http://mama.mtv.com/voting/ mwendo wa malink tu kuvote tu..
Ukifata iyo lik ina maelekezo yote then utajiregista afu unavote kwa davido au wizkd na vanesa. Make sure sehemu ya dai unaipita kama huioni mamy.
Unaruhusiwa kuvote ata mara mia goooooooooooo nifah nimekusaidia jukumu
 
Last edited by a moderator:
Siku Daimond akifa wa kwanza kuzimiaa kama kwa kanumba watu kwa unafiki jamaniii looo
 

Attachments

  • Farewell Kanumba The Great_ Photos from the escor.jpeg
    Farewell Kanumba The Great_ Photos from the escor.jpeg
    49.8 KB · Views: 69
  • WEMA NA MWENYI.jpeg
    WEMA NA MWENYI.jpeg
    29.1 KB · Views: 78
  • sijarudiana na wema lakini jana na leo swali hilo.jpeg
    sijarudiana na wema lakini jana na leo swali hilo.jpeg
    37.4 KB · Views: 71
  • WEMA SEPETU AFUNGUKA NAE JUU YA YEYE NA KANUMBA.jpeg
    WEMA SEPETU AFUNGUKA NAE JUU YA YEYE NA KANUMBA.jpeg
    11.7 KB · Views: 71
Back
Top Bottom