Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido


Safi sana ngoja nikafanye mambo yangu ya kupiga kula ya ndio davido na wizkidi ila maana hatuwezi onana na hujui nafanya nini safi but kazi yangu ni kupiga kula ya ndio kwa davido na wizkid out of that siitaji kuwa na uelewa wa ziada juu ya tatizo lako la akili
 
Eeeewaaa......asante ma........ngoma mdundo........tuliambiwa tunapiga kelele.......sasa ngoja tukampigie hizo kelele Davido na Vanessa..........kelele weeeee.........

Ajajajajaaaaa! Nimekupendaje sasa?
Haya sie kazi tu.Ni mwendo wa vote kwa vote...
Wizkid, Davido, Vanessa, Mr. Flavour. ..
 

Asante mumy, Preta nadhani yuko kazini sasa...
 
Last edited by a moderator:
Keep voting! Nina hakika Diamond ana rudi na tunzo si chini ya mbili!
 

Attachments

  • 1434453849808.jpg
    102.8 KB · Views: 121
Mijitu masikini haijui hata itakula nini, then inataka kukwamisha mafanikio ya mtanzania mwenzao kwa wivu wa kijinga kwa ile tabia ya kichoko ya watanzania ya TUKOSE WOTE, kosa na mama yako. Vote for Diamond wewe mtanzania mzalendo. Kama umeumbwa na fungu la kukosa utasugua hadi m*undu lakini haupati kitu, rizki anatoa mwenyezi chokoraa wa hawezi kuiziba. Vote for Diamond
 

Jiwe la gizani hili hahahahah
 
Nsha- vote 200 kipengele cha best live nahamia cha best male yaani mpaka bando iishe na ikiisha naongeza ni zili za Uhuru voda zina speed ni fastafasta.

Watashindana lakini hawatashinda.
 
Meseji delivered
 

Attachments

  • 1434456194694.jpg
    32.6 KB · Views: 125
  • 1434456206513.jpg
    54.7 KB · Views: 122
  • 1434456218343.jpg
    53.7 KB · Views: 123
  • 1434456227773.jpg
    60.3 KB · Views: 121
  • 1434456242563.jpg
    60.6 KB · Views: 110

Jamani vote category aliyoko dai ili kumpunguzia votes ohoooo
 
Last edited by a moderator:
Haahahah idris utawaua witches na wizards ...mzalendo
 

Attachments

  • 1434457000033.jpg
    23.6 KB · Views: 115
  • 1434457024084.jpg
    25.7 KB · Views: 109
Eeeewaaa......asante ma........ngoma mdundo........tuliambiwa tunapiga kelele.......sasa ngoja tukampigie hizo kelele Davido na Vanessa..........kelele weeeee.........
Preta naomba kwenye category ya best like live mpigie flava. Pale dai hayupo. Name colabo mpigie davido na uhuru
 
Last edited by a moderator:
Nsha- vote 200 kipengele cha best live nahamia cha best male yaani mpaka bando iishe na ikiisha naongeza ni zili za Uhuru voda zina speed ni fastafasta.

Watashindana lakini hawatashinda.

Hehehh nicheke mie!
 
Mastaa kibao wapo behind the force hahahah
 

Attachments

  • 1434457134317.jpg
    40.9 KB · Views: 121
  • 1434457156028.jpg
    41.1 KB · Views: 124
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…